Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,856
- 9,344
Asante brother Laurent Kweka kwa ushauri wakoMwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.
Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)
Penda usipopendwa for your own risk
Hakuna haja ya kuoa,Hakuna mwqnamke anaweza kukupenda,wanawoke c watu mkuu ni nyoka ,waliokosa mikia tuu
Kwahiyo unataka kusema Mh petro Magoti, DC wa kisarawe kaonewa huruma?Wanawake wapo wenye UPENDO WA KWELI na HURUMA kuliko hata sisi wanaume,kwa sababu nimeshuhudia mwanaumke akikubali kuolewa na mwanaume mlemavu na MASIKINI..lakini ni wanaume wachache wanaweza kuwaona wanawake walemavu..ndiyo MAANA kisaikolojia TU wanawake wanajali sana sura sao au asije akapata kasoro ukubwani ndiyo MAANA ukitishia kumdhuru mwanamke anakwambia UKINISABABISHIA ULEMAVU UTANIOA WEWE..
kwa hiyo wanawake wanaamini wakiwa na ULEMAVU watakosa wanaume WA kuwaona ila ,wao wanawake wanaweza kuolewa na wanaume walemavu na wakawavumilia na kuwapenda.
So WANAWAKE NI WATU PIA SANA kama akikuelewa..na wanawake ni WABAYA SANA KAMA ASIPOKUELWA (Kama yaliyonikuta Mimi nilijichomeka nisipopendwa ..Nika ionja hiyo ya jiwe ya mapenzi..
So inategemea na umekutana na mwanamke WA aina Gani.
Mimi ninachojua
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Maneno ya wakosajiMwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.
Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)
Penda usipopendwa for your own risk
Wanawake wapo wenye UPENDO WA KWELI na HURUMA kuliko hata sisi wanaume,kwa sababu nimeshuhudia mwanaumke akikubali kuolewa na mwanaume mlemavu na MASIKINI..lakini ni wanaume wachache wanaweza kuwaona wanawake walemavu..ndiyo MAANA kisaikolojia TU wanawake wanajali sana sura sao au asije akapata kasoro ukubwani ndiyo MAANA ukitishia kumdhuru mwanamke anakwambia UKINISABABISHIA ULEMAVU UTANIOA WEWE..
kwa hiyo wanawake wanaamini wakiwa na ULEMAVU watakosa wanaume WA kuwaona ila ,wao wanawake wanaweza kuolewa na wanaume walemavu na wakawavumilia na kuwapenda.
So WANAWAKE NI WATU PIA SANA kama akikuelewa..na wanawake ni WABAYA SANA KAMA ASIPOKUELWA (Kama yaliyonikuta Mimi nilijichomeka nisipopendwa ..Nika ionja hiyo ya jiwe ya mapenzi..
So inategemea na umekutana na mwanamke WA aina Gani.
Mimi ninachojua
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Kua na mwanamke ambae hujampenda nayo ni kazi nyingine
Kuona mwanamke anaekupenda kweli ni vizuri kwa mustakabari wa ndoa. Ila uzito wa kuishi na uyo mwanamke sio rahisi pia kuubeba. Itakubidi uudanganye moyo wako kila siku. Sio kitu rahisiKupanga ni kuchagua,kuna wakati inabidi ufanye maamuzi KWA kutumia AKILI badala ya kutumia HISIA.
uoe mwanamke wife material UNAYEMUHATAJI whom you Need,au uoe mwanamke kwa kuongozwa na hisia/nyege UNAYEMTAMANI ambaye atatumia udhaifu WAKO kama fimbo ya kukutandika.(Halafu majuto yawe mjuku)
Wengine wamejifunza hili the hard way..mpaka walipotoka na damu ..ndio wakatambua ..HATA WENGI WAO WANAOSEMA WANAWAKE NI WABAYA KWA SABABU WALIKOSEA KUCHAGUA kati ya mwanamke WA kuoa na WA kutamani.
Mpaka sasa wanasema ndoa ni mbaya ,wanawake ni WABAYA..
What I can say kwa VIJANA
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Kuona mwanamke anaekupenda kweli ni vizuri kwa mustakabari wa ndoa. Ila uzito wa kuishi na uyo mwanamke sio rahisi pia kuubeba. Itakubidi uudanganye moyo wako kila siku. Sio kitu rahisi
Hatuwezi kuwa unaudanganya moyo kwa sababu na WEWE pia mpaka ukamfuata na kumtongoza Ina maana ulimpenda hata kama sio kwa asilimia mia moja pengine mwanzo ulikuwa unafanya kama unaopita naye TU SI kwa lengo la kumuweka ndani..
NDIPO SA unashangaa WHEN A WRONG ONE LOVE YOU RIGHT (yule uliyesema inapita naye kishkaji hukuwa na LENGO la kumuweka ndani ndiye anakupenda 100% na KUMUHESHIMU,kukuthamini,kukujali,kumjali familia Yako,mpambanaji anajituma,Yani SIFA zote za wife material pia mcha MUNGU .
Halafu yule mwingine uliyekuwa unamuona mrembo unafikiria kumuwowa sana ndio unakupa na KITU KIZITO kwa vile anajiona yeye ni MREMBO SANA ...Tena anakwambia kabisa...YANI WEWE UKINIONA WA NINI WENZAKO WANAJIULIZA WATANIPATA LINI...kwanza najishangaa hivi ilikuwaje kuwaje mpaka ukazaa na Mimi..hivi siku hiyo niliptwa na Nini..KIBURI CHA KICHAGA kimoja hatari sana...hujawahi kupewa jibu moja na mwanamke JEURI mpaka ukaona NYOTA NYOTA.
watu WANAPIGA UKUNGA ,NDOA MBAYA OOOH ! WANAWAKE WABAYA..source yake ..ni moja kushindwa KUCHAGUA mana SI KILA MWANAMKE ANAFAA KUOA.
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Utajuaje?Mwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.
Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)
Penda usipopendwa for your own risk
Utajuaje?
1 Wakorintho 13:4-8, ( "Wimbo wa Upendo".)
Tabia na sifa halisi za upendo na maana ya Sifa Hizi
• Huvumilia: Upendo una subira kubwa, hauchoki mapema, na unavumilia mapungufu ya wengine.
• Haufadhili: Unatenda wema na kuonyesha fadhili kwa vitendo
• Hauhusudu (Hauoni wivu):Upendo hauna wivu
• Hautakabari (Haujisifu): Upendo hautafuti sifa za kijinga wala kujikweza mbele ya wengine.
• Haujivuni: Upendo hauna kiburi cha moyoni wala dharau kwa walio chini.
Lakini UPENDO ni kujitoa kwa AJILI ya wengine,Kwa maana hata Mungu alitupenda hata akaota kwa AJILI YETU Tena kutoa kitu Cha thamani,
ANAYEKUPENDA hayupo tayari kukupoteza ,atajitoa kwa AJILI ya kukua KWAKO na kukua kwa familia Yako ,atajitoa kwa familia Yako atajitoa kwa AJILI Yako.
Hata kama WEWE huoni ata walioko karibu Yako watakwambia huyu binti anakupenda sana hata wazazi WAKO ama ndugu zako watakwambia huyu ANAKUFAA..hata kama WEWE umetiwa upofu WA kumtazama huku na HUKO kutafuta mwingine ..watakwambia walio karibu Yako huyu binti anakupenda ..ila kama ukitulia chini ukachunguza vizuri utaweza kugundua UPENDO WA KWELI haujifichi ni kama KIKOHOZI hakijifichi ama chafya ..ama tumbo la mimba hakijifichi..
sasa Mimi kilichonishinda kwa yule mwanamke mwingine ni MAJIVUNO/KIBURI NA DHARAU...Yani ningemvumilia vyote nilikuwa Niko tayari..kilichonishinda kuvumilia ni DHARAU TU..kutokuniheshimu basi hicho TU.
Hela ikikupenda funga nayo ndoa