sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
- Thread starter
- #41
Nani kasema ni ajira tu, Viongozi wengi tu wa sehemu nyeti kama bungeni, ikulu, mahakamani, ma rpc, vyeo vizito jwtz, taasisi za uwekezaji, n.k wapo wazanzibari wa kutosha.... mbona huongelei hili?Tatukana mtu hapa bure Apo cha maana ni ajira tu so ajira tu ndo initese hivyo na tunajua fika wazanzibari wengi hawana vichwa
Unavyosema hawana vichwa huna utofauti na wale wanaosema Zanzibar ni kamkoa tu bila kujua kwamba wao ndio wananufaika zaidi kuzidi kundi lolote hapa nchini,