N'zonzi aliomba baadhi ya wachezaji wa Ufaransa ili Kante apige picha na kombe

Nadhani hujaangalia mechi nyingi za huyo kiumbe wa ajabu! Hakuna cha inferior anaanzaje kuwa enfirior kwenye timu yenye WACHEZAJI WEUSI KAMA YEYE 14 kati 23? KANTE hajawahi kujiona inferior....kuna watu wameumbwa wapole,KANTE huwa anajua kucheza mpira tu hajui kushangilia,hajui kulalamika kwa ufupi jamaa ni mpole hadi amepitiliza akikulamba buti atakuacha anaondoka zake na ukimlamba hatokutazama usoni atainuka ataendelea na maisha yake.Akipewa kadi alalamiki hata kama kaonewa
Pia kazaliwa ufaransa Paris, kajiunga na academy ya soka akiwa mdogo kabisa. Kama ni inferiority ya wazungu, yuko nao toka anazaliwa. Sio wageni kwake.
Ni sawa na messi, messi kapewa ukapteni sababu ya kiwango chake ila hana leadership skills na haongei, mkimya na haishi maisha ya kujionesha. Huwezi ita hii ni inferiority. Ni jinsi watu wengine walivyo.
 
Huyu jamaa ni shy and humble sana...hadi pale Chelsea wachezaji walikuwa wanasema wakiwa dressing room wasipomuita jina lake hawatamuona wala kumsikia akiongea mule ndani...yeye anafanya kazi yake tu kwa usahihi mkubwa uwanjani.

Na kila timu akienda huwa anageuka kipenzi kwa wachezaji wenzake maana hata anavyoongea ni soft and smooth with an innocent voice na ule mwili wake wa kitoto kitoto basi jamaa wanajikuta wanamuona mnyonge na muungwana sana ila uwanjani dogo anakaza kuliko hata wenye miili mikubwa...alishakuwa mchezaji bora wa mwaka pale ligi kuu ya England 2017 kama sikosei.

Anapendwa sana ufaransa na kushangiliwa zaidi kuliko wote na ndie mchezaji alietungiwa wimbo maalumu...ukicheck Twitter utauona wanauimba wafaransa wote. Search Ngolo kante song.

Picha hapo chini alipokuwa dogo aliplay part kuwa hao jamaa kuchukua ndoo but hakuwa sehemu ya central celebration kajikalia nyuuma.

Mimi nimezoea kuona wafupi wakiwa watata na wenye ungangabe ila huyu jamaa yuko tofauti sana very shy, humble and full of respect. Wanamsemo huko France kwamba "everyone loves Kante"

View attachment 810794
hata kipind tuna cheza naye chandimu alkua hvyo hvyo
 
Back
Top Bottom