Nywele za sehemu za siri huongeza msongo wa mawazo

Mtaalamu wa saikoloji huyo, kamsoma mteja wake kaona hana tatizo lolote la msingi ndio kampa wazo hilo na mwenyewe kaona limemfaa. Kuna watu hasa wazee wanaopenda kunywa dawa wakati wote, na hulalamika kuwa wanaumwa, hata ukimpa maji kwa kijiko na kumwambia ni dawa atakuambia dawa imemsaidia.
 
Mada zingine nzuri kiushauri
Ila kuchangia hoja yataka moyo
Ngoja tuu nipitee
 
Wanasaikolojia wana mbinu nyingi za kuwatatulia watu matatizo, na wengi huwaamini sana! Client anapomuana mwanasaikolojia anaamini 100% kuwa kile atakachoambiwa afanye kitamsaidia moja kwa moja kutatua shida zake!
Kilichomsaidia huyo client ni imani yake...
 
  • Thanks
Reactions: Auz

Kwahiyo unataka kuniambia nywele sehem za siri haziongez stress?
 
Kwahiyo unataka kuniambia nywele sehem za siri haziongez stress?
Ingekuwa hivyo ni watu wengi sana wangekuwa na stress!
Sina hakika 100% kwa kuwa stress husababishwa na mambo mengi, scientific proof inahitajika kwenye hilo suala!!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom