Dr. Mmoja wa saikolojia kutoka Paris Ufaransa anaejulikana Kwa dr. Smith Aley kamshauri mteja wake anyoe nywele zote sehemu za siri kutokana na mteja wake kusumbuliwa na stress na kuonekana mtu mwenye hasira, kitu kilichomfanya bwana huyo aende kwa daktali (Dr. Smith) ambapo baada ya kuonekana yupo sawa, Alishauriwa kama ana nywele sehemu za siri azitoe, na punde Mteja yule aliponyoa alipona tatizo lake na kumshukuru daktari wake!
Je, ni kweli vuzi laweza sababisha Stress?
Je, ni kweli vuzi laweza sababisha Stress?