Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,741
HahaMkuu ni biashara gani ilikufanya kuona makwapa ya wazungu wanaume?
Swimming, mazoezin
HahaMkuu ni biashara gani ilikufanya kuona makwapa ya wazungu wanaume?
Ila zina raha yake zikiwa safi hasa sehemu zenye ubaridi...Hao ukiwauliza watasingizia ubusy
Hilo swali lako liende kwa sauti ya TUNDU LissuMkuu ni biashara gani ilikufanya kuona makwapa ya wazungu wanaume?
Mugabe alisema ukiiba nywele za mdada wa kiafrika ukamloge uchawi unampata mwanamke wa watu Brazil.
hatariAisee hapafai hapo na lile jasho sasa
Hivi wewe ni ke!!? Maana avatar yachanganya kidogo na hiyo comment ya kujua dyudyu za white men!!!Asilimia kubwa ya wazungu(wanaume) niliowaona wanaachia sana sijui kisa nini?
Me mkuu. Sio dyudyu ni makwapa.Hivi wewe ni ke!!? Maana avatar yachanganya kidogo na hiyo comment ya kujua dyudyu za white men!!!
Oh Sorry. Nimekupata mkuuMe mkuu. Sio dyudyu ni makwapa.
Kwani wanaume wa kibongo marafiki zako makwapani haujui wanafuga nywele au hawafugi?
Je ukienda swimming nao? Mazoezini? Matembezini mtu akivaa kizibao?
Poa poa.Oh Sorry. Nimekupata mkuu