Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,654
Kwakweli kwa hili JOTO la DSM alafu kama watu hawazingatii USAFI binafsi basi hao wanastahili kunyanyaswa kisaikolojia kwa kuwaambia maneno makali yanayoumiza.
Leo nimekutana na mtu ananuka beberu akasome mbele alafu kwenye makwapa hajanyoa nywele mpaka zimebadilika rangi zimekuwa kama ugolo mixer maziwa yani ni kinyaa aisee yani ni masikitiko aisee Kuna maswali unabaki kujiuliza huyu mtu hajishtukii unajikuta unakosa majibu. Kwa ule uchafu hata mbu hawezi msogelea
Na sitaki kuamini Kuna watu nguo za ndani wanavaa mpaka zivunde kwa JOTO hili la DSM lenye laana...
Kataa uchafu, uchafu ni tatizo la akili