chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,208
a person who knows everything is a master of none.
umesomeka kiongozi!
a person who knows everything is a master of none.
Hahahahahah, man Umenena!a person who knows everything is a master of none.
.kuna ubaya gani kuwepo kila jukwaa?
.
mfano mimi C++
naweza sana siasa,
ila mambo ya afya siyawez basi nntataka nikaonekane nami naweza mambo ya afya.
Kama hujanielewa we unatisha..
me nimekusoma mkuu, ila kuwepo majukwaa tofauti tofauti inaweza kuwa ni njia ya kujifunza pia na kuchangia pale ambapo unauelewa napo na ninaamini sipo peke yangu.
hivyo ndivyo ilivyo.Hahahahahah, man Umenena!