Unga > NyungaNyunga ni kitu gani?
Huu utohozi sio sawa, unga ni unga uwe mwingi au kidogo. Unga hauhesabiki sawa na maji, sharubati, gesi n.k.Unga > Nyunga
Ungo > Nyungo
Uchi > Nyuchi
Uma > Nyuma
Uzi > Nyuzi
Ufa > Nyufa
Sure mkuu... Hii kitu ipo siriazi.. Ugali ulisha songwa kupiga tonge hv naona vikambakamba.. Kucheki vzuri nikaona funzaJuzi nilinunua kilo 10 lakini kweli kabisa bila kuchekecha hizi nyunga unaweza kula wadudu,hali ikiendelea hiv,itabid niwe nanua mahind na kusaga tu mwenyewe
Siyo kila kinachoanzia U kwa jina au kitu flani ni lazima kiwe na wingi HAPANA vitu vingine hubakia kama vilivyo kwa umoja wake, huleta wingi kwa namna tofauti ya mwanzo wa viwakilishi vya herufi "NY" kwa kutoa kiwakilishi cha "U" pia huweza kuleta wingi kupitia vifaa vinavyobebea hivyo vitu.Hasa kwa wale tunaonunua package za kilo 5 hadi kilo 10 kwa ajili ya familia kuweni makini, jaribuni kuchekecha hzo nyunga kabla ya kupika na mtajionea wenyewe.. Hili limenitokea zaidi ya mara moja.. Sijajua tatizo ni utunzwaji mmbaya au hz nyunga zinakua zimekaa sana madukani.
Ukiwa na unga wa mahindi, ulezi, mtama, muhogo n.k kwa pamoja huwezi kusema una unga baali una nyunga!!!Huu utohozi sio sawa, unga ni unga uwe mwingi au kidogo. Unga hauhesabiki sawa na maji, sharubati, gesi n.k.
aisee umetisha mzee, eti nyunga!Umojaa-unga
Wingi-nyunga