Nyumbani kwangu kuna n'ge

Nyumbani kwangu kuna n'ge

PrincessAnne

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
1,875
Reaction score
2,228
Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani

Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
 
Hujui kufa n njia ya kwenda mbinguni!!!!mwache akung'ate ili ufe.
 
Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani

Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kuwa na Faza Hauzi inza Hauzi.
Ukiulizwa hapo relationship status,
I am single and not ready to mingle, Men are are stressful. Goddammit! Pambana na LiNge lako.
 
Huyu kaja kuchangamsha tu jukwaa hamna ng'e hapo halafu na nyie mlivyo wa ajabu mnajipinda kumjibu JF kuna vituko kuliko uswahilini.

Tafadhali sana usitake kuniharibia uzi wangu.
Mimi sina akili za kipuuzi kama zako
Nahitaji kumuua n'ge
bila shaka hufahamu vyema pita kimya.
 
Hivi mnavyoenda porini kwenye makazi yao nao wajipange kuwaueni .hebu lala huko kesho utamtoa tangu lini nge akaweza kupanda kitandani
 
Tafadhali sana usitake kuniharibia uzi wangu.
Mimi sina akili za kipuuzi kama zako
Nahitaji kumuua n'ge
bila shaka hufahamu vyema pita kimya.

Unaishi wapi nije kumuua huyo ng'e?
Bila shaka leo hutolala, ukijigusa tu unashtuka.

Mungu tu ndie anafahamu hapa kojo linagonga chupi nawaza nikojolee glass maana naogopa kutoka hapa nilipo
 
Back
Top Bottom