Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
oa kijana
Si ulikuwa unatafuta mwenza ? na Mtanzagiza huyu yuko huko majuu haya kazi kwako lol!oa kijana
Umeninyang'anya maneno mdomoni mkuu.tena weye wamfaa haswa!
kiukweli hatukuwekeana makubaliano nilichukulia mshkaji na nafasi ipo ila naona anajisahau sana!anachukulia vitu simple sana kwa mfano akijua kaka anakuja anaanza kujisemesha dah!tuna bahati ya wageni sana sijui wanatia baraka nyumba sijui nini blah blah nyingi!hajui tu anavyonikwaza....pole sana,
je wakati unamuita mliweka mikakati gani au makubaliano gani?
hao ndugu zake anawahudumia au hodari wa kuwaita na hela hatoi?
keti nae mzungumze, mwambie kero yako, kama alitaka kujaza nyumba apange/jenge yake.
next time ukae pekeyako au tafuta mtu ambae mnaendana kitabia uishi nae....
tena weye wamfaa haswa!
pole!!unamuogopa???mpigie simu umchane live!!
nishamuonyesha kwa vitendo kama sizimikii hiyo tabia ila hajanisoma itabidi nimvalie miwani ya mbao nimchane!
Wewe dini gani na yeye din gani?Naona kitimoto kinaweza kumaliza tatizo...............sorry kama hutumii....
kiukweli hatukuwekeana makubaliano nilichukulia mshkaji na nafasi ipo ila naona anajisahau sana!anachukulia vitu simple sana kwa mfano akijua kaka anakuja anaanza kujisemesha dah!tuna bahati ya wageni sana sijui wanatia baraka nyumba sijui nini blah blah nyingi!hajui tu anavyonikwaza....