Shogaa angu naona ushazoeaa hali ya kwa mumeo sio kwa kujiachiaa hukoKwahiyo mkuu baada ya kutoka kilingen umeamua kupiga picha nyumba yetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu shost angu tumeshatoka kilingen tunashushia na hii kituShogaa angu naona ushazoeaa hali ya kwa mumeo sio kwa kujiachiaa huko
Shogaa angu unanijazaaa mate ilaa hapo ingekuwepo smin off ungenipaishaa na ungo nije manake ndo ugonjwa wanguKaribu shost angu tumeshatoka kilingen tunashushia na hii kituView attachment 723633
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo mkuu baada ya kutoka kilingen umeamua kupiga picha nyumba yetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari,rejea uzi wa "demiss rasmi kilingeni"Bado kuonyeshwa picha ya mke wake, ya mtoto tayari tumeonyeshwa.... Demiss
Hapo meta haisomi ingawa umeme unawaka usiku & mchana ha ha haNaam mambo ndio kama hivo mkuu mshana jr tuhuma inakuhusu.View attachment 723590
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naam mambo ndio kama hivo mkuu mshana jr tuhuma inakuhusu.View attachment 723590
Dah yaani... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana Jr huu mwaka no wako mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shogaa angu naona ushazoeaa hali ya kwa mumeo sio kwa kujiachiaa huko
Tayari mbona!? Siku hizi hata kuku hachinjwi tena... Wachawi wamekuwa wema sana wanachanja kidogo tu kwenye paja na kupata damuIv ad karne hii wachawi hawajaweza kubuni tungur smart?
Yani kawe kadogo tu kama gololi
Bro mshana njoo jibu haya mashtaka.