VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
nini theme ya hadithi yako?
Mkuu Mwitongo huyo Jaji ni mtu muhimu saana kwa kubadili mwelekeo wa siasa za Arusha, hivyo si vibaya tukajua baada ya hukumu aliyoitoa yeye ya kumvua ubungwe Mhe Lema yeye anaendeleaje???? Madarasa yako mengi tuu ingawa labda hutokubaliana na mimi!!!Wewe si mtu makini, kama kweli ulienda kumjulia hali Jaji, kulikuwa na haja gani ya kuyaweka mazungumzo yenu hapa? Wewe ni msaliti kweli kweli.
Wewe si mtu makini, kama kweli ulienda kumjulia hali Jaji, kulikuwa na haja gani ya kuyaweka mazungumzo yenu hapa? Wewe ni msaliti kweli kweli.
Mbona unatokwa na povu lote hili la nini? Mbona wewe ndio Msaliti namba moja kwa Watanzania kwa kutumia kalamu ambayo ndio mtaji wako?Wewe si mtu makini, kama kweli ulienda kumjulia hali Jaji, kulikuwa na haja gani ya kuyaweka mazungumzo yenu hapa? Wewe ni msaliti kweli kweli.
mara ngapi tumeenda kwa ndugu na jamaa kufuatlia wagonjwa tukajikuta tunaongea mambo mbalimbali nadhani alifanya vizuri kutaka kujua kama anajua kinachoendelea si ni yeye alitoa hukumu kwani kuna ubaya gani mulitaka afanye siri wakati mambo yako hadharani,Very unprofessional journalism!! Ni aibu kuwa na mwandishi wa aina yako, sababu zangu ni hizi:
a) Kama unafahamiana nae na ulikwenda kumsabahi, ungeelewa maumivu yake na ukaishia hapo tu. Kama mgonjwa ana haki ya kutotaka kufahamika kwa hali ya ugonjwa wake!!
b) Kuzungumzia kesi ya Lema ambayo ni yeye aliamua ni kosa kimaadili tu, bali ni kumchokoza. Ulitaka maoni yake ili iwe nini? Hili si swala la maoni, ni swala la facts na sheria.
Lakini ungekuwa jasiri, usingemfuata mgonjwa. Hebu waliuze akina EL, EC, JK et al. kuhusu EPA, Radar tupate kusikia "maoni" yao.
Usipokaribishwa tena kwenye nyumba ya Jaji Rwakibarila, usiseme kakuonea au ni mtu mbaya. Watu wa aina yako ndio huitwa wazandiki!!!
Angekosa ustaarabu kama angetueleza phyisical appearance ya judge yaani kama angesema alivaa nguo imechanika,uso umemshuka,ana aibu n.k lakini amejumuisha tuu hana kosaMnh! ulienda kumtembelea kama "Wakili" au mwanafamilia? Ulienda kufanya mazungumzo na Jaji kuhusu kesi ya Lema au ulienda kusalimia mgonjwa? Ila vyovyote iwavyo huna ustaarabu hata kidogo!