Nyumba za Yamoto: Sheria inahitajika, Fella adaiwa kuwa kikwazo cha Aslay kwenda Wasafi

Kuna vitu ambavyo wabongo lazima tubadilike na hii mitazamo ya utimu na kutafakari kwa bashasha kidogo...

Aslay angeenda wasafi ndo ingekuwa mahali pekee kwayeye kukua kimziki....dogo ana kipaji cha kipekee...lakini kuwa na kipaji tu haitoshi...unahitaji back up kubwa sana illi uweze kutoboa...

Kwani wangapi wana kipaji kama Aslay na wana miaka kibao kwenye gemu lakini bado wanasota tuu??

Halafu wangapi hawana hata vipaji (tena Aslay amewapita mbali sana kwa kipaji) lakini kwakuwa wapo WCB wao ndo wana mafanikio makubwa sana Bongo na hata Afrika wanasikika sikika??

Kubali,kataa,bisha,andamana, WCb ndo sehemu pekee kwasasa hapa bongo ambapo hata mimi nisiejua kuimba chochote na nikaenda pale basi wakiamua kunisupport lazima nitaonekana tu na nitatoboa kibongobongo.
Hivi Lavalava bado hawajaamua kumsapoti? Maana hata kibongobongo hajatoboa
 
Baada ya kundi la yamoto band kusambaratika kutokana na madogo kutumika kwa mkubwa fela p na Temba bila kufaidi jasho lao hata zile nyumba walizojengewa mkubwa fela kukataa kuwapa.

chanzo cha kuondoka ilikuwa ni zile nyumba ambazo fela alidai kawajengea wale vijana. Mwanzoni mwa mwaka jana madogo walikuwa wanataka wapewe nyumba zao kila mtu afanye mwenyewe finishing.

Mkubwa fela alikuwa mbogo.. hataki kusikia kuhusu nyumba. inasemekana Aslay na BEKA ndiyo walikuwa wakikomalia wapewe nyumba zao.. Kumbe hati za nyumba zote zimeandikwa jina la Diwani wetu wa chama dume. Ina maana siyo za madogo..

Chambuso ndiyo aliwatonya madogo.. Madogo baada ya kuona wanadhulumiwa wakaanzisha mgomo baridi.. Mkubwa Fella akawapa kisogo akaendelea na watoto wengine. Madogo wakajitoa Yamoto.. Mkubwa Fella akafurahi akaona kelele za nyumba zimeshaisha.

Aslay aliwasiliana na Diamond. Kipind Dai yupo South na walikubaliana yeye na Mbosso wataenda Wasafi.. Mkubwa Fella alivyosikia hivyo akamwambia Dai unafeli mwana achana na huyo Dogo. Dogo ana kimeo ana dharau sana. Tumchukue Mbosso tu.. Aslay achana naye.

Nasikia Mkubwa Fella anatafuta mteja wa kuziuza hizo nyumba ili awazime kabsa madogo na huu mpango unasukwa karibu kabisa na Temba. Msando kesi hizi zako mzee!

Diamond umeliacha jembe la kukuingizia pesa kisa huyu Meneja uchwara!?

Hivi watalamu wa sheria hawa madogo hawawezi wakapata haki yao kweli? Hata kwa ushahidi wa kimatukio? Kwa maana hati za nyumba siyo majina yao but kwenye sheria kuna ushahid wa kimazingira.. Nimesahau sikusoma sheria.. Kama kuna mdau anajua sheria fresh aje inbox tuiweke mkakati vizuri.. Haiwezekani madogo waishi kimaskini wakati jasho lao anakula Fella.

Diamond mchukue dogo Aslay.. Fuata ushauri aliokushauri SK.

Mkubwa Fella, rudisha nyumba za madogo wa Ya Moto.. Unajisikiaje watoto wale wamepanga hata Vits hawana?
Ndio maana juma nature aliamsha
 
Hivi Lavalava bado hawajaamua kumsapoti? Maana hata kibongobongo hajatoboa

Mkuu naposema kibongobongo namaana ya kwamba vijana wengi wakishaweza kumiliki gari na nyumba basi wanaamini ndo washamaliza maisha......lavalava hapo kashamaliza
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Basi kuna wajinga wengine walikuwa wanamwambia maneno kama haya alipokuwa Yamoto band. Leo hii Aslay amekuwa punga sababu ya shida.

Wazee msione vyaelea, huyo Fella mnampa matusi yote ila wasanii wanajua uwezo wake kwenye kusimamia kazi za muziki.

Bado Konde Boy.
 
Punga? Kivipi?
 
Huu utabiri unahema au umekufwaa
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Sometyme huwa mnacomment mkiwa na vodka pembeni ....
 
Basi kuna wajinga wengine walikuwa wanamwambia maneno kama haya alipokuwa Yamoto band. Leo hii Aslay amekuwa punga sababu ya shida.

Wazee msione vyaelea, huyo Fella mnampa matusi yote ila wasanii wanajua uwezo wake kwenye kusimamia kazi za muziki.

Bado Konde Boy.

Doh Aslay ni NGAPULILA siku hizi?
 
Back
Top Bottom