Jamani, wamiliki wa nyumba za wageni jaribuni kupunguza kidogo gharama za vyumba. Unajua inakera sana kuona umetoka kwenye nyumba fulani (chumba Tsh. 25,000) ukienda tena baada ya wiki moja unaambiwa 30,000 na kibaya zaidi akishaona umeongozana na demu wako.
Tuoneane huruma jamani, hali yenyewe ngumu!!!!
Tuoneane huruma jamani, hali yenyewe ngumu!!!!