sagaciR
JF-Expert Member
- Jun 17, 2017
- 644
- 882
Similarities btn Religion vs political govt.Kwa hiyo mchungaji anatakiwa amjengee kila muumini nyumba?
Similarities btn Religion vs political govt.Kwa hiyo mchungaji anatakiwa amjengee kila muumini nyumba?
Ukweli mtupuSimilarities btn Religion vs political govt.View attachment 1188876
Ujinga mtupu. vp yule bibi maskini aliyetoa pesa zake zote kanisani na Yesu akamuona je kilikuwa kipindi cha agano la kale ????
Fungu la kumi ni mambo ya kale na lishapitwa na wakati.
Unyang'anyi mtupu
Nope!Kwa hiyo mchungaji anatakiwa amjengee kila muumini nyumba?
HahahahaNope!
Waumini wanatakiwa kutoa sadaka ili mchungaji anunue ndege.
Ila kwa nyie wanawake si huwa hamkoseagiNimeona moja hapo ya mama lwakatare kipindi cha JK nusura ivunjwe kisa iko kalibu na bahari. ha ha ha a ha ila nimecheka sana icho choo unaambiwa uhakikishe unalenga
Mchungaji analishwa na kondooMuumini akitaka kujenga nyumba anafanyiwa maombi, lakini mchungaji akitaka kujenga nyumba waumini wanamchangia pesa.
Nadhani kilichokuchekesha ni hayo maandishi ya "hakikisha unalenga..."Umefanya nicheke baba angu ni mchungaji ila hana hio nyumba
Akili ya mwanamke ni zero x 1
tabu yake ni mwaminifu na MUNGU anayemtumainia na anamjua aliyemtuma