stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,988
- 27,746
Kama unakwenda kila siku kanisani,anakuombea upate Baraka,anakuombea upone magonjwa,anakuombea unajenga nyumba,anakujenga kiroho.NA ujuwe kuwa hauko peke yako,ni waumini wengi mnaombewa na kupata hizo baraka,kwanini msimjengee nyumba ili na wengine waendelee kupata hizo Baraka na vizazi vyenu na wajukuu zenu?Ikimbukwe kuwa wengine wanapata vyeo makazini kwa kuombewa na wanatoa shukurani kila mtu kwa uwezo wake,mwingine anafanikiwa kwenye biashara anatoa shukurani na kila mtu kwa uwezo wake,Mwingine anapona magonjwa na anatoa shukurani kwa uwezo wake n.k. sasa kwanini mtumishi huyu asiwe na mahali pazuri pa kuishi?Maana sidhani kama kuna alielazimishwa kwenda kuabudu hapo kanisani,watu wanakwenda kwa hiyari yao wenyewe na hawalazimishwi kutoa.Pia ikumbukwe pia wewe unakwenda kanisani kuombewa ukitoka hapo unaenda kubarikiwa huko uendako na unaendelea na shuguli zako za kutafuta pesa,mtumishi unamuacha pale kanisani hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato tegemeo lake la kuishi ni wewe,mimi naona ni maswala ya kumuwezesha tu ili na nyinyi mlioamua kwenda kusali kwa hiayari yenu muendelee kubarikiwa,tusingalie anachokipata anafanyia nini...