Nyumba za NHC hapa mjini kwa serikali isiweke sheria wakapangishwa Walimu Madaktari na M-nurse

mooduke

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
628
111
Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?
 
Hebu tuondolee kauli zako zenye hisia za kibaguzi na zisizo na uhalisia. Kwanza hujui kodi ni kisai gani, pili hujui kama walimu na hao wengine uliowataja wangezimudu. Tatu, unataka mwalimu wa kibamba aishi kwenye hizo nyumba halafu akafundishe kibamba. Kwa taarifa yako, huko mtaaani kuna nyumba za kodi elfu 10 ambayo ni asilimia kumi tu ya kodi za NHC.
 
Mooduke,
Nakuunga mkono. Uliowataja wanastahili kabisa kupewa huu upendeleo kutokana na unyeti wa huduma zao kwa jamii, vipato vyao vidogo, dharura na umbali wa kufika maeneo yao ya kazi. Inasikitisha kuona watanzania wenye uwezo tena mkubwa sana kifedha ndiyo wamehodhi hizi nyumba kwa miongo kadhaa.
 
Hebu tuondolee kauli zako zenye hisia za kibaguzi na zisizo na uhalisia. Kwanza hujui kodi ni kisai gani, pili hujui kama walimu na hao wengine uliowataja wangezimudu. Tatu, unataka mwalimu wa kibamba aishi kwenye hizo nyumba halafu akafundishe kibamba. Kwa taarifa yako, huko mtaaani kuna nyumba za kodi elfu 10 ambayo ni asilimia kumi tu ya kodi za NHC.

ulaaniwe! Kwanza wewe ulipangisha mtu hapo NHC kupitia jina lako,unakula cha juu na bado umeshindwa kumaliza kujenga ka-kibanda kako
Shame on you!
 
Ulaaniwe wewe mzushi. Kama unajua mimi nimepata hizo nyumba za NHC na unajua mimi ni mswahili, huoni kwamba hiyo hoja ya kwamba nyuma zote zinakaliwa na waasia ni uchochezi ambao msingi wake ni ubaguzi and nothing else?
 
Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?

This is productive thought. Bravo bro!
 
mlaniwe wote mnaotaka kulaniana na manofikilia kulaniana wakati hizi nyumba hazituhusu ni za wahindi kwani walinyanganywa enzi hizooo nyie mmekuja juzi mjini mnazitaka , kajenge zakwenu huko kibamba
 
Tatzo nyinyi mnajua walimu tu...unajua mshahara wa mfanyakazi wa wizarani ni mdogo kuliko wa ticha
 
Ndugu mimi ninae andika haya ni mtumishi wa umma najua vizuri kila kitu. Hebu tuone umuhimu wa kada tajwa kwa maendeleo ya taifa hili japokuwa sina maana kuwa kada zingine hazina umuhimu.

Tatzo nyinyi mnajua walimu tu...unajua mshahara wa mfanyakazi wa wizarani ni mdogo kuliko wa ticha
 
ulaaniwe! Kwanza wewe ulipangisha mtu hapo NHC kupitia jina lako,unakula cha juu na bado umeshindwa kumaliza kujenga ka-kibanda kako
Shame on you!

Kumbe huyo fa*l*&a ndio maana anatoka povu, mb#*w kama hao wapo wengi sana duniani, usikute pia wanakamuliwa na hao maponjoro hawa wanao dharau wabongo weusi,
 
mlaniwe wote mnaotaka kulaniana na manofikilia kulaniana wakati hizi nyumba hazituhusu ni za wahindi kwani walinyanganywa enzi hizooo nyie mmekuja juzi mjini mnazitaka , kajenge zakwenu huko kibamba

Mkuu ivi wewe unakaa bunju alaf unafanya kazi posta alaf unapinga ili? Uwa nakuonaga kwenye foleni kila siku ivi kumbe unajisikiaga raha! Jiulize wakati unafukuzana na daladala au hats ile gx 100 yako ushawahi kumkuta mhindi, au yeyote Mwenye asili ya kuchanhanya akipangana na mifoleni yenu kuja mjini?

Kaa mwenge au magomen au mataa ya ubungo au hata tabata hata lisaa then ulete taarifa apa kama umemuona mtu WA asili iyo akitokea uko...au ni kwa wavuja jasho pekee? OK pita pita upanga uone walivosheeni uko utadhani sio Tanzania. Kuondoa ubaguzi ni pamoja na kuwachanganya watu wote. Izi nyumba za nhc ziko misused. Wanapangishwa kwa bei chee. Kodi za rum moja ya Biashara mjini ni mil3 wakati nhc sio zaidi ya lak6 na bado mnakenua.

Nhc chukua ushauri wa mleta mada watu wanawachukia sana mtaani sema habari haziwafikii uko mliko.
 
Hebu tuondolee kauli zako zenye hisia za kibaguzi na zisizo na uhalisia. Kwanza hujui kodi ni kisai gani, pili hujui kama walimu na hao wengine uliowataja wangezimudu. Tatu, unataka mwalimu wa kibamba aishi kwenye hizo nyumba halafu akafundishe kibamba. Kwa taarifa yako, huko mtaaani kuna nyumba za kodi elfu 10 ambayo ni asilimia kumi tu ya kodi za NHC.
mbona povu?
 
Back
Top Bottom