Nyumba za Masanja Mkandamizaji

Kumtegemea Mungu inalipa na kuwa na akili za maana sio hao wanaojitundika kwenye kaunter madem na misifa lakini hawana akili bado wanategemea mama zao na uzee so Masanja i salute you man keep going nakutakia mafanikio zaidi ya hayo mpaka ushangae ila si-salute chama chako!!!
 
Some people work and pray hard to succed.
 
Ukitaka kujuwa watu wenye roho za kimaskini, kwanza wana fikra za kumiliki nyumba.
 

Masanja hana chama anaangalia MPUNGA kwanza hata CDM wakiwa nazo yupo tayari kufanya kazi nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…