Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,882
- 828,452
Nchi ya Japan imepiga hatua za juu zaidi za kiusalama wa tetemeko la Ardhi kwa kutumia Nyumba za levitating zilizotengenezwa na Kampuni ya Kijapani ya Air Danshin Systems Inc. wakati wa hali ya kawaida, Nyumba zitatumia airbag deflated.
Lakini wakati wa Tetemeko wameandaa mfumo wa kupanda juu kwa kasi ili kuinua muundo juu ya Ardhi na kuepukana na kutetemeka.
Lakini wakati wa Tetemeko wameandaa mfumo wa kupanda juu kwa kasi ili kuinua muundo juu ya Ardhi na kuepukana na kutetemeka.