Nyumba yenye thamani ya Tshs. Trillion 1 hapa bongo

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Kwanza nitoe pole kwa watanzania kwa msiba mzito uliotukuta.

Hivi kuna nyumba yenye thamani ya tshs. Trillion 1 hapa Tanzania?

Tunabishana hapa baada ya tajiri mkubwa India kumiliki mjengo wa ghorofa 7 wenye thamani ya trillion 2.3 za kibongo.
Kuna jamaa anadai posta na K/Koo kuna mijengo ya thamani hiyo.

Wanaojua ukweli watujuze. Ikibidi watupe pia orodha ya majengo ya gharama zaidi duniani na bongo pia. Karibuni.
 
Lile jengo la TPA lenye ghorofa 40 ambalo linasemekana mpk kukamilika kwake litakua ndio jengo refu E/Africa limegharimu Tsh bil 120,sasa hayo ya Kariakoo yanayofikia tril 1 sijui yatakua yakoje mkuu.
 
pw pw boss, mjengo kama ule opposite na hostel za udsm za magufuli unaweza kuwa umelamba tshs ngapi hv? Pale kituo cha supastaa
 
.
IMG_20190211_182513.jpeg
IMG_20190304_130955.jpeg
 
Bila shaka unaongelea mjengo wa Mukeshi wa India.
Utajiri wa $1bil ndio anao tajiri wa Kwanza wa kibongo kibongo hapa ,leo ndo aje ajengee nyumba tu mkuu,hahah utaua bendi mkuu.
Ndio ndio, ndio ubishi umeanzia hapo
 
Simple and Clear, HAKUNA! Hakuna hata unaofikia Sh. 500 Billion! Just imagine ule mradi wa NSSF Kigamboni! Pamoja na watu kupiga lakini mradi mzima hata ungekamilika usingefika hata hiyo 500 Billion! Tufanye kusikia tu akina Dangote wana utajiri wa matrilioni ya shilingi!

Magu kalia weeeee, eti kisa kalala hotel ambayo gharama zake kwa siku ni kama 8M TU! Ukiwa na Trillion, halafu unaamua kuishi kwenye ile hotel, basi utaishi humo kwa angalau siku 125,000,sawa na miaka 342! Kwa maana nyingine, pamoja na ma-inflation nini na nini, bado Trilioni 1 itawawezesha watoto wachanga 3 wanaozaliwa leo kuishi kwenye hiyo hotel maisha yao yote, na chenji ya kutosha ikabaki!
 
Hahah mzee baba hakuamini bongo hii hii kuna hotel ya 8mil/day pamoja na kubana kote hahah,kuna hotel flani iko kule Serengeti minimum room rate ni $2100/day na through out the year iko booked kwa 90% na sio hata wazungu ndo wanaijaza karibu 40% ni wabongo tu wanaenda zao kula good time.

Maisha haya yana ma-gap kinyama.

Simple and Clear, HAKUNA! Hakuna hata unaofikia Sh. 500 Billion! Just imagine ule mradi wa NSSF Kigamboni! Pamoja na watu kupiga lakini mradi mzima hata ungekamilika usingefika hata hiyo 500 Billion! Tufanye kusikia tu akina Dangote wana utajiri wa matrilioni ya shilingi!

Magu kalia weeeee, eti kisa kalala hotel ambayo gharama zake kwa siku ni kama 8M TU! Ukiwa na Trillion, halafu unaamua kuishi kwenye ile hotel, basi utaishi humo kwa angalau siku 125,000,sawa na miaka 342! Kwa maana nyingine, pamoja na ma-inflation nini na nini, bado Trilioni 1 itawawezesha watoto wachanga 3 wanaozaliwa leo kuishi kwenye hiyo hotel maisha yao yote, na chenji ya kutosha ikabaki!
 
Simple and Clear, HAKUNA! Hakuna hata unaofikia Sh. 500 Billion! Just imagine ule mradi wa NSSF Kigamboni! Pamoja na watu kupiga lakini mradi mzima hata ungekamilika usingefika hata hiyo 500 Billion! Tufanye kusikia tu akina Dangote wana utajiri wa matrilioni ya shilingi!

Magu kalia weeeee, eti kisa kalala hotel ambayo gharama zake kwa siku ni kama 8M TU! Ukiwa na Trillion, halafu unaamua kuishi kwenye ile hotel, basi utaishi humo kwa angalau siku 125,000,sawa na miaka 342! Kwa maana nyingine, pamoja na ma-inflation nini na nini, bado Trilioni 1 itawawezesha watoto wachanga 3 wanaozaliwa leo kuishi kwenye hiyo hotel maisha yao yote, na chenji ya kutosha ikabaki!
Umenifurahisha sana
 
Kwanza nitoe pole kwa watanzania kwa msiba mzito uliotukuta.
Hivi kuna nyumba yenye thamani ya tshs. Trillion 1 hapa Tanzania?
Tunabishana hapa baada ya tajiri mkubwa India kumiliki mjengo wa ghorofa 7 wenye thamani ya trillion 2.3 za kobongo.
Kuna jamaa anadai posta na k.koo kuna mijengo ya thamani hiyo.
Wanaojua ukweli watujuze. Ikibidi watupe pia orodha ya majengo ya gharama zaidi duniani na bongo pia. Karibuni.
Nyumba au jengo?
 
Back
Top Bottom