Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,803
- 179
Napenda kuwatangazia wadau wote kuwa nauza nyumba yangu yenye eneo kubwa kutosheleza ujenzi mwingine upande wa mbele, nyumba ipo Kipunguni mashariki jijini Dar. Ukiwa Kitunda relini, upande wa mashariki ndipo ilipo nyumba hiyo.
DHUMUNI LA KUUZA:
Ni kutokana na hali ngumu kabisa kimaisha hivyo nipate kufanya biashara na kujikwamua. Bei ni 18m tu.
Kwa mawasiliano: 0762-123133 au 0715-887777
NB: Najitahidi kubandika picha maana nipo safari mikoani, nitabandika picha.
Ahsanteni.