Nyumba ya Sumaye kupigwa Nyundo mpaka Chini!

Nyumba ya Sumaye kupigwa Nyundo mpaka Chini!

Katibu mkuu CHADEMA. Sumaye, sheria ichukue mkondo wake
 
Visasi Tu, Ikiwa Ni Kweli Ni Serious Issues Kuna WATU WENGI Wenye Nyadhifa Serikalini Na CHAMA Chao Wanaomiliki Majengo MAENEO SIO!!! NADHANI Kusiwepo Na Double Standard Ktk Hilo!!
 
Thubutu!
Jipu hilo ni la Mkurugenzi Manispaa ya Kinondoni.
 
uvamizi ilala ni mkubwa sana hakuna Viwanja vya kuchezea wenetu!
get a note!
 
Majungu. Na visasi ndiyo vitapelekea kilio kikuu kwa ccm 2020 yetu macho.

Fisi mwenye njaa kali anapomfuatilia kwa nyuma binadamu anaetembea,akitarajia mkono wa binadamu utadondoka muda wowote ili akimbie nao akautafune.
 
katika hilo utaskia chama flani kimyaaaa angekuwa bado yuko ccm ungeskia mapambio. staki mapovu nimetoa ya kichwani kwangu msitake kuja kunimalizia hasira zenu hapa kwani uongoo?? maana saiv ukihamua tu chama flani unatakatishwaaaa fastaaa
 
Kama sheria inafuata mkondo wake basi mmiliki wa Rose Garden ajiandae maana ile sehemu ilikuwa eneo la wazi.
 
Visasi Tu, Ikiwa Ni Kweli Ni Serious Issues Kuna WATU WENGI Wenye Nyadhifa Serikalini Na CHAMA Chao Wanaomiliki Majengo MAENEO SIO!!! NADHANI Kusiwepo Na Double Standard Ktk Hilo!!

Wataje!
 
Sheria zisimamiwe vizuri.. Bado tanesco na TBS.
 
Haki na wajibu ndio msingi wa Sheria. Ikithibitika ni eneo la wazi, lisisalie hata jiwe!

Serikali iendelee kubomoa nyumba za wananchi wakidai kuwa "wamevamia" maeneo. Ila ijiandae kulipa mabilioni ya fidia baada ya kuthibitika kuwa ni serikali yenyewe hiyohiyo ilitoa hati za umiliki na wala sio "uvamizi" kama inavyojinasibu. Tusubiri tuone.
 
Utadhani nimekutuma vile, na JPM alivyo mkurupukaji vita itahamia mahakamani
 
Sumaye ni fisadi wa viwanja. Kwa sasa chadema anajisikia nyumbani.
 
aisee isije ikawa ni msukumo wa kuamia chadema

Kwani Luhanjo na Amon nao wamehamia CHADEMA? Hilo eneo tumekuwa tukicheza mpira hapo ila vigogo wakaona watoto tunafaidi na wao ndio wanamatumizi nalo wakatufukuza. Avunjiwe tu na mwingine yeyote aliyevamia open spaces no matter who..... tumechoka. Mtu hana huruma, majumba kila sehemu na bado anadhurumu tu
 
waende pale karibu na polisi mabatini Anna Makinda amejenga gorofa barabarani.
 
Back
Top Bottom