Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 665
Lukuvi, huwezi kusema utavunja utakapobaini ukweli, kwa sababu hujui ukweli utabainisha nini.Lukuvi, alisema serikali itavunja uzio na shughuli za ujenzi zinazoendelea kwenye eneo hilo itakapobaini ukweli
Utawala wa amri na matamko yasiyofuata misingi ya utawala wa sheria kutoka kwa serikali ya Magufuli.