Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
Nmelipenda jibu lakoSawa Joyce Mhavile.
Nmelipenda jibu lakoSawa Joyce Mhavile.
Sheria ya mwizi akiiba anapewa muda arudishewabomoe tu hakuna cha mengi wala nani wafuate sheria
Hizi mambo zinaumiza sanaKuanzia January 5 tutaamkiana tu humu barabarani
Sheria ya mazingira imetungwa baada ya ujenzi wa nyumba. Hakuna anayehoji hiloSheria ni msumeno. Mwenyekiti WA mazingira hakufuata taratibu na sheria za mazingira kabla hajajenga nyumba yake!
Mbele kidogo ya daraja la sarenda mkuu kuelekea jangwani upande wa kulia mwa mto au inakomwagia mwaji bahari ya hindi.Duh. Mengi anaishi kinondoni? Kinondoni gani?
Mbele kidogo ya daraja la sarenda mkuu kuelekea jangwani upande wa kulia mwa mto au inakomwagia mwaji bahari ya hindi.
Wanatafutwa wataalam toka nje ya nchi wa kuvunja maghorofa..... Napita tu...Kama unachoeleza kutendwa na wizara chini ya Lukuvi ni kweli jee lile hekalu la mama mch.Rwakatare mbona wanaliogopa na kuvunja za pembeni yake tu? Unaweza au waziri mhusika kutupa sababu?
funika kombe mwanaharamu apite..Sitoshangaa kusikia hili la bomoa bomoa kusudi lake lilikuwa yeye,hii ndio Tanzania yetu bwana.
Haya sheria na ifuate mkondo wake,kwa Mengi hata kama atapata athari sio kubwa sana ukilinganisha na wananchi wa kipato cha chini.
Tunafanya mawasiliano na makampuni ya ukandarasi kutoka China na Thailand na kama mambo yataenda kama yalivyopangwa tunatarajia jengo hilo na mengine kama hayo hadi ifikapo mwishoni mwa mwaka 2019 yatakuwa yamekwisha vunjwa yote..Wanatafutwa wataalam toka nje ya nchi wa kuvunja maghorofa..... Napita tu...
Sio bure utakuwa ni sehemu ya familia ya Mengi.Hiyo nyumba Mengi aliuziwa na mhindi akaingia kichwa kichwa,tulimshauri mzee lakini hakusikia ingawa mafuriko yalikuwa yakimuathiri mara kwa mara.
Hahaha starring mwenyewe ray, Jambazi muhogo mchungu hio ni movie au?hayo ndiyo malipo ya " unafiki " na " undumilakuwili " wake. napenda sana lile movi lenye title ya " pay back ". wataisoma wengi na hapo bado.
Tuliahidiwa utawala wa kisheriaUzuri serikali huwa inatekeleza yale isiyoahidi,hebu jiulize kwenye kampeni mliahidiwa kuvunjiwa nyumba????
Harafu kuna issue inanikera mie binafsi. Unasikia Hata watu mawaziri na wanaosimamia sheria zetu eti zoezi hili halitaangalia NAFASI Wala cheo cha mtu. Mimi hapo hata akili huwa inasimama. Sasa lini sheria inaangalia nafasi ama cheo ???? Sisi bado SanaSheria ni msumeno. Mwenyekiti WA mazingira hakufuata taratibu na sheria za mazingira kabla hajajenga nyumba yake!
yes atakua nayo kama wengine walionazo, lakini huhitaji macho kuona kuwa kiwanja hapo hakikuwepo, sema kunya anye kuku akinya bata shida, kwani nyumba y amama lwakatare ilishavunjwa?Tatizo litakuja kwenye sheria. Nadhani ana hati miliki ya eneo lake sasa ngoma ndio itakuja hapo.
Hiyo nyumba Mengi aliuziwa na mhindi akaingia kichwa kichwa,tulimshauri mzee lakini hakusikia ingawa mafuriko yalikuwa yakimuathiri mara kwa mara.