Nyumba ya Reginald Mengi kukumbwa na bomoa bomoa

Nyumba ya Reginald Mengi kukumbwa na bomoa bomoa

Nyumba ya mwenyekiti wa makampuni ya IPP Bw Reginald Mengi iliyopo mitaa ya Kinondoni, ambayo ndio anayoishi leo hii imepigwa alama ya X kwaajili ya zoezi la bomoa bomoa linaloendelea mitaa hii ya Kinondoni!
Weka picha
 
Acha uchonganishi, kama haistahili kuwa hapo lazima ibomolewe , kwani ni akina nano wanahaki ya kubomolewa nyumba, sheria ifuate mkondo wake bila kujali mapapa, Mbona koko beach, Manji amenyang'anywa, kwani yeye sio papa?
 
Eti kisa mchaga halaf kaskazin. Mtashindwa maaamaeeee
 
Haaa haaaa Dr Mengi alikuwa UKAWA kisiri siri lazima aisome namba haaa haaa.
 
Tatizo litakuja kwenye sheria. Nadhani ana hati miliki ya eneo lake sasa ngoma ndio itakuja hapo.
Ni kweli sababu hata bomoa bomoa ya mara ya kwanza walimuandikia ibomolewe lkn haikubomolewa waliobomolewa ni walalahoi wasio kuwa na hati na. Mengineyo
 
Weka picha
24aa1128adbcd1f160eb1c2fa23d0fcc.jpg
 
Nyumba ya mwenyekiti wa makampuni ya IPP Bw Reginald Mengi iliyopo mitaa ya Kinondoni, ambayo ndio anayoishi leo hii imepigwa alama ya X kwaajili ya zoezi la bomoa bomoa linaloendelea mitaa hii ya Kinondoni!
tinga bomoa bomoa kabisa hiyo nyumba ya huyo mengi
 
Nyumba zote zilizopo mabondeni zitavunjwa bila kujali mwenyewe ni nani ! Hatizamwi mtu inatizamwa location ya nyumba mahali ilipo! Kwa hiyo hii thread isilenge kuonyesha mtu fulani kaonewa

Nakubaliana nawe, mabadiliko huambatana na vilio na vicheko. Vilio wakati huu na vicheko kwa vizazi vijavyo.. talking of sustainability.
 
Nikweli nifan Nakuunga mkono dada yangu. Swali: Je vipi Mbona hiyo sheria ambayo haipindishwi Na hakuna anayeogopewa inagwaya kumuweka hadharani Na kumchukulia serious measures mmiliki wa UDA aliyeiingizia hasara nchi ye2 Na kujilimbikizia mali?

Mbona hawi-arrested kama wale wabandari? Au bado hajulikani? Lakini gari Zake zimewekwa kizuizini? Basi kama hajajiokeza zile Gari zigawiwe Kwa wananchi kila vijana 10 wapewe UDA moja wawe wanapokea hesabu Kwa siku kusolve problem ya ajira.au ndiyo ile hadisi imeishia hapo.fanani amekwenda mapumziko?
Kuna watu mna matatizi ya akiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
 
Back
Top Bottom