Nyumba ya Reginald Mengi kukumbwa na bomoa bomoa

Nyumba ya Reginald Mengi kukumbwa na bomoa bomoa

Nyumba ya mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Bw. Reginald Mengi iliyopo mitaa ya Kinondoni, ambayo ndio anayoishi, leo hii imepigwa alama ya X kwa ajili ya zoezi la bomoa bomoa linaloendelea mitaa hii ya Kinondoni!
Ni ukuta kwa maana ya fensi au nyumba nzima? Kama ni nyumba nzima it will be good news. Alizidi
 
Hiyo nyumba Mengi aliuziwa na mhindi akaingia kichwa kichwa,tulimshauri mzee lakini hakusikia ingawa mafuriko yalikuwa yakimuathiri mara kwa mara.
 
Kinondoni anapo ishi una maanisha ADA ESTATE ?? Sababu ya kuvunja ni nini ??
 
Imekaa kama tetesi vile.... bila kapicha ka kutuaminisha!!! 😱
 
Ndugu kwa sheria ya ardhi, mmiliki wa ardhi ni Rais. Hivyo Rais anaweza kurevoke hati miliki ya plot au shamba lako anytime.

Freema samahani naomba kuuliza, nafahamu president anaweza kurevoke right of occupancy for public interest lakini je, ina maana suala la fidia yeye halimgusi? Especially kama anayebomolewa ana documents halali toka kwa authority?
 
Kwenye kutenda haki hata nyumba ni ya Magufuli wanatakiwa kubomoa
 
kwanini wengine wabomolewe kwa fidia wengine wabomolewe bila fidia @Freema Agyeman suala linakuja pale unapopata mwanasheria mzuri. sidhani Hapo kama #mengi atashindwa kupata mwanasheria wa kupambana na hao wanasheria wa serikali.
 
Tusubiri yale magazeti ya IPP kuanza kuleta uzushi wa habari hii na kuonekana kama kuna uonevu au siasa inafanyika tu
 
Sitoshangaa kusikia hili la bomoa bomoa kusudi lake lilikuwa yeye,hii ndio Tanzania yetu bwana.
Haya sheria na ifuate mkondo wake,kwa Mengi hata kama atapata athari sio kubwa sana ukilinganisha na wananchi wa kipato cha chini.

hayo ndiyo malipo ya " unafiki " na " undumilakuwili " wake. napenda sana lile movi lenye title ya " pay back ". wataisoma wengi na hapo bado.
 
hayo ndiyo malipo ya " unafiki " na " undumilakuwili " wake. napenda sana lile movi lenye title ya " pay back ". wataisoma wengi na hapo bado.
Nilijua tu,popoma umefuraaahi mwenyewe.
Unadhani atakubali kubomolewa kijinga?
Movie ndio kwanza imeanza,subiri uone.
 
Sitoshangaa kusikia hili la bomoa bomoa kusudi lake lilikuwa yeye,hii ndio Tanzania yetu bwana.
Haya sheria na ifuate mkondo wake,kwa Mengi hata kama atapata athari sio kubwa sana ukilinganisha na wananchi wa kipato cha chini.
@nifah ni wachache sana watakuelewa nini umesema.
 
Ivunjwe tu hakuna namna nyingine

tena naomba siku hiyo ya kuvunjwa mtangazaji mwenye kutaka sifa na kiherehere Spencer Lameck na yeye awepo akishuhudia bosi wake anavyosulubiwa kwa mamlaka ya ponsio pilato.
Nilijua tu,popoma umefuraaahi mwenyewe.
Unadhani atakubali kubomolewa kijinga?
Movie ndio kwanza imeanza,subiri uone.

anaweza akamegewa hiyo nyumba na vile vile hata bibie wake " akamegewa " vile vile kisela na asifanye chochote. mshaurini tu awe mpole na tunaenda kwa " mnafiki " mmoja baada ya mwingine hadi kwa aliyetengeneza filamu ya " kuzimia " mkoani Tanga na ya " siku ya usafi " wa barabara mkoani Mara.
 
Back
Top Bottom