Nyumba ya milele!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya milele!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CHAI CHUNGU, May 18, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wakuu naomba kuelimishwa kuhusu hili neno"NYUMBA YA MILELE"kwa nijuavyo mimi maana ya milele ni kudumu,sasa maana ya nyumba ya milele ni nyumba ya kudumu,but ktk elimu na imani za dini zinasema tutafufuliwa na kusimamishwa ktk mahakama ya bwana,sasa kwa kama ipo siku tutafufuliwa iweje KABURINI kuitwa nyumba ya milele?maana hatujui siku ya kiama ni lini,vipi ukizikwa asubuhi alafu kiama ikashuka jioni jee utakua umeishi KABURINI milele?au tunaosema ni nyumba ya milele hatuuamini ufufuo na siku ya kufufuliwa na kusimamishwa ktk mahakama ya M/mungu?
  Need comments za kunielimisha pls:
   
Loading...