Nyumba ya Mh. Mariam Kassembe sh. 400mil

Nyumba ya Mh. Mariam Kassembe sh. 400mil

Nyumba ya 400ml aliioredhesha kwenye mali anazomiliki kama kiongozi? takukuru fuatilia hii issue..............!
 
I can't manage myself, nitawezaje jimbo na watu wake?

Mie nafaa kwa politik za chit chat

Umaskini janga la kitaifa...we acha tu. Badala ya kuhangaika na wanayoyaweza wamevamia kitu ambacho piga ua hawakiwezi ng'oo.
On the other hand, this is a business opportunity. kachukue jimbo Kongosho...Mbunge wao naona wamemchoka
 
naomba mwenye picha ya hiyo nyumba atusaidie, na kwa nini hakuiwejea bima kama alijua thamani yake ni kubwa hivyo?
 
" .... kama wewe (mtangazaji) ulivyo huna kitu hata mimi nimebaki sina kitu chochote sasa" aliongeza kusema Mh. Kassembe... Mwiso wa kunukuu..

Hapa kaniacha hoi kwa kweli....
 
Tuchambue mambo kwa makini. Hivi ni ajabu mbunge kumiliki nyumba ya mil400? Mshahara wake kwa miaka mitano ni mil420 na bado wanachukua mikopo. Kwa hiyo kuwa na vitu hivyo si ajabu. Bodaboda wajue adui yao ni nani, si mbunge wala nyumba wala matrekta ni mfumo. Tupigane kuondoa mfumo si kuharibu mali.

Nyumba yenyewe umeiyona?
 
Mil 400? Anaijua ml 400? Hiyo BOQ aliandaliwa na mchina? Nikiwa mtaalam wa majengo, hiyo nyumba kama nilivyoiona haifiki hata nusu ya hiyo 400! Anyway mzee wa kulia kasema watalipwa fidia. Tusubiri!
 
Huyu mama bora angenyamaza tu, maana sasa anazidi jaza chuki.
Wenzie watajua hiyo mil. 400 ni mwendelezo wa kuhonga gesi kuhamishwa Dar es salaam.

'Nyumba inajengwa Mtwara, jiwe la msingi lawekwa Dar.'
 
nyumba hiyo Millinon 400?????? nonsense
ingejenga nyumba kama hizo zaidi ya 6 hapo masasi
 
So ameenda studio kunanga mtangazaji kuwa hana kitu? ila pole yake nadhani ni kutokana na kimuhemuhe cha yaliyotokea
 
wakati wazazi wake wakimsisitiza elimu dunia na akhera ,hao wengine ni akhera tu sasa hivi matunda ya elimu yake yanaonekana japo ya kuunga unga wanachoma moto hahahaahah

Acha kuingiza udini hapa, elimu dunia ni elimu kristu. Hawataki hiyo!!!!!. Wao ni madrasa kwa kwenda mbele.
 
Hiyo nyumba ya milioni 400 aliijenga wapi?kama ni hii iliyoungua huku masasi haifiki thamani hiyo ingawa mimi si mtaalamu wa evaluation.Those are false figures
 
Thamani za nyumba zetu sinema tupu!..........milioni 400? Masasi?

VURUGU+MTWARA+NA+MASASI+%25281%2529.jpg

Huyu mbunge ni mwongo. Hapo anataka fidia tu, hana lolote.
 
Nimepapenda sana hapa.....sijui katumia criteria gani kutambua kwamba mtangazaji hanakitu, bilashaka yawezekana wanauhusiano wa karibu sana au katumia kigezo cha kwamba watangazaji wengi hawana kitu! Nchi inavihoja hii!

Uvaaji tu na siha ulitosha kumfamnya Mbunge amuone mwandishi kuwa hana kitu

waandishi+wa+habari.jpg

 
sio sababu huyo alie choma hajajua kama pesa yake itakamamilisha malipo mara mbili ya hiyo gharama,sioni sabau ya kuchoma nyumba za wabunge na mali nyngine za umma
Wacha na yeye afeel pain kama tunayofeel maskin ambao hatuna nyumba bora za kuishi labda atajifunza ki2l

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
wakati wazazi wake wakimsisitiza elimu dunia na akhera ,hao wengine ni akhera tu sasa hivi matunda ya elimu yake yanaonekana japo ya kuunga unga wanachoma moto hahahaahah

kwa taarifa yako karibu asilimia 80 ya wakazi wa Masasi ni hao unaowaita wanasisitiza elimu zote,mdini mkubwa wewe na kwa hili la gesi hio kete yenu ya udini haitofanikiwa
 
Back
Top Bottom