Nyumba ya Mh. Mariam Kassembe sh. 400mil

Nyumba ya Mh. Mariam Kassembe sh. 400mil

Si ajabu hata kidogo mbunge kumiliki nyumba ya sh 400mil. Tatizo ni kwamba mbunge ni mtu wa watu hata kama ni wa kuteuliwa. Sasa anamiliki vipi mali katikati ya watu maskini?? Ukiweka na mali zilizokuwemo ndani ya nyumba nadhani itakuwa hasara ya zaidi ya mil labda 800!! Wale wananchi waliochoma wamefanya kosa la jinai lakini ukichunguza sana utakuta ni hasira za wao kuendelea kuwa maskini na wabunge wao hawafanyi kitu chochote cha kuwasaidia bali wanajineemesha. Ndiyo maana siku hizi watu wanaacha fani zao muhimu kwa taifa hili wote wanaenda kugombea ubunge.

Pia chunguza sana chanzo cha hizo vurugu, unaweza kukuta kuwa kuna makosa yamefanyika mahali yaliyosababisha hizo vurugu. Penye vurugu tegemea chochote kutokea. Pia kama umejenga nyumba jiulize ilikuchukua muda gani kumaliza nyumba yako? Je thamani ya nyumba yako ni shilingi ngapi? Pesa wanayopewa wabunge kweli ni kubwa lakini kiasi kikubwa kinatakiwa kikafanye kazi majimboni mwao. Mshahara wao ndio halali yao na nadhani ni mil 2 tu (Mnisahihishe sina uhakika). Ila nina uhakika mshahara sio mkubwa ki hivyo.
Tuchambue mambo kwa makini. Hivi ni ajabu mbunge kumiliki nyumba ya mil400? Mshahara wake kwa miaka mitano ni mil420 na bado wanachukua mikopo. Kwa hiyo kuwa na vitu hivyo si ajabu. Bodaboda wajue adui yao ni nani, si mbunge wala nyumba wala matrekta ni mfumo. Tupigane kuondoa mfumo si kuharibu mali.
 
Ha ha ha hii ni zaidi ya over price,,, hata kama ni inflation hii ni kali..


Hivi anaijua million 400 ilivyo? Pesa lazima tuipe heshima yake.. Hiyo nyumba hata million 100 tu kufika kwa mbinde..

Nyumba za million 400 ni viota kweli kweli vimejaa mikocheni na mbezi beach sio hiyo nyumba ya vifaa vya kichina kutoka Good one, sunda etc kama inavoonekana hapo juu
Matokeo ya pengo kubwa kati ya walionacho na wasionacho.
 
Huijuwi Masasi wee acha kuandika vitu usivyovijua kuna nyumba nyingi sana tena bora zaidi ya 10000 ukilinganisha na ya mbunge, masasi is a hub of mtwara corriddor na southern corridor. KWA UFUPI Masasi ni miongoni mwa mji bora sana kusini yote. Uliza waliofika Masasi watakujuza peleka umbeya wako FB
Je Masasi kuna wananchi 10000? Masasi kuna matajiri wengi kuliko masikini? Je huyo Mbunge alijenga hilo jumba kabla ya Ubunge? I did not say anything bad about Masasi, I did question MP only. Please before you made comment, understant the whole thing otherwise, B**ch! go wash your stink punany.
 
Huijuwi Masasi wee acha kuandika vitu usivyovijua kuna nyumba nyingi sana tena bora zaidi ya 10000 ukilinganisha na ya mbunge, masasi is a hub of mtwara corriddor na southern corridor. KWA UFUPI Masasi ni miongoni mwa mji bora sana kusini yote. Uliza waliofika Masasi watakujuza peleka umbeya wako FB
I did not talk about Masasi, so I don't have a clue WF are you bitching about
 
He, Kongosho we hujui kura zinavyoibiwa kwenye chaguzi? ukitegemea kisanduku cha kura kumuondoa kiongozi mwenye 400ml utachelewa uendako
 
Back
Top Bottom