Borat69
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,522
- 1,757
Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare iliyopo Kawe Beach Mtaa wa Ally Sykes imepigwa X na kuandikwa maneno "BOMOA" mchana huu.
My take: kuna watu huwa wanalalamika kuhusu huu ubomoaji ni uonevu kwa maskini. Tuache kulalamika na tufuate sheria.
Mchungaji Lwakatare sio hohehahe lakini sheria imempitia.
Source: Mimi mwenyewe.
My take: kuna watu huwa wanalalamika kuhusu huu ubomoaji ni uonevu kwa maskini. Tuache kulalamika na tufuate sheria.
Mchungaji Lwakatare sio hohehahe lakini sheria imempitia.
Source: Mimi mwenyewe.
Last edited by a moderator: