Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,047
- 219,059
Iliishaje hii ?Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare iliyopo Kawe Beach Mtaa wa Ally Sykes imepigwa X na kuandikwa maneno "BOMOA" mchana huu.
My take: kuna watu huwa wanalalamika kuhusu huu ubomoaji ni uonevu kwa maskini. Tuache kulalamika na tufuate sheria.
Mchungaji Lwakatare sio hohehahe lakini sheria imempitia.
Source: Mimi mwenyewe.
View attachment 314008 View attachment 314009
View attachment 314010