Nyumba ya kutosha familia inapangishwa Vituka Jet Lumo ( Nyuma ya Airport)

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,325
Heshima kwenu brothers and sisters

Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub") 3km from jk nyerere airport and 11 km from city centre.

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja masterbedrum.

Ipo ndani ya fensi yenye nafasi ya kutosha 4 to 5 cars na ina gate

Ina umeme ( luku ) na maji ( drilling)

Ipo maeneo tulivu near Ikizu motel na ina Tiles

Bei ni 250,000 KWA MWEZI, KODI MIEZI 6

Nyumba inapangishwa now na aliye interested anicheki 0658 000106 au " shaurimbaya @ gmail.com
 
Safi Mzee, Mimi si mteja, Bali nakutafutia mteja fasta siunajua mambo ya mjini! Au unasemaje?
 
Back
Top Bottom