House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Buzuruga
Mtu ambaye hataki usumbufu
Vyumba vitatu
Self moja (jakuzi)
Public toilet
Ndani ya fensi
familia 2 tu(kuna gorofa na hiyo nyumba mnayoona hapo)
Bei mil 3 kwa mwaka
Miezi 6 anakubali
Kama huna gari unashuka TIA,MECCO,NUNDU,BUZURUGA STENDI
Kuna SECURITY YAKUTOSHA
0767241001Whatsup/call
ASANTE sana

NB
Nyumba zipo nyingi sana kila mahari
Taja Aina ya Nyumba
Unayota na BAJETI YAKO

NB
Kama hakuna picha ya Nyumba Yako hapa unapewa OFFA YAKUONA NYUMBA TANO naamini utafanya maamuzi Kabla ya kufika Nyumba ya 4
IMG-20191112-WA0035.jpeg
IMG-20191112-WA0031.jpeg
IMG-20191112-WA0029.jpeg
IMG-20191112-WA0033.jpeg
IMG-20191112-WA0025.jpeg
IMG-20191112-WA0027.jpeg
 
nyumbanzuribeinzuri,

Huu uzi nilikuwa napita kimya kimya ila wacha nitie neno hapa,

Naamini huu ni uongo ili utishe watu,

Kama ni kweli basi mwenye nyumba na huyu mteja wote wapumbavu,

Mwenye nyumba upumbavu wake ni kuanza kukwambia wewe habari za kulipia nyumba,alikuwa anakwambia ili iweje? Ilitakiwa akamate pesa yake halafu akuambie nyumba imepata mpangaji thats all

Upumbavu wa huyo mpangaji ni kutoa pesa halafu asipewe mkataba the moment unatoa pesa na muda huo huo ndo unachukua mkataba kama haujaandaliwa tukaandikishane hata kwa mwenyekiti

Kingine madalali ni wapumbavu na now days sitoi pesa ya mwezi siwezi kabisa nitakachokifanya ni kumpa pesa kama kifuta jasho kwa ajili ya usumbufu na akizingua hata hiyo hachukui.
 
Mkolani
Vyumba viwili
Self 1
Sitting rm
Dinning rm
Jiko
Inajitegemea
Nyumba mpya
Dk 5 Toka kwenye rami
Bei MIL 2.4 Kia mwaka
Mitzi 6√√√
0767241001
IMG-20191119-WA0006.jpeg
IMG-20191119-WA0005.jpeg
IMG-20191119-WA0005.jpeg
 
Smart Tv
Brand Philips
32' inches
Clean as new
Bei 265k negotiable
Karibu
Contacts whatsapp 0769939879
Offline 0692804893
Instagram @used_phones_point_tz



Iphone X
Very clean with full accessories
Location Dar ukonga
Ram 6gb
Rom 256gb
Goes cheap at 1.3M negotiable
Contacts whatsapp 0769939879
Offline 0692804893
Instagram @used_phones_point_tz
 
Lumala
Vyumba vi2
Self 1
Public toilet
Dinning rm
Sitting rm
Fensi
Security nzuri
Bei mil 3 kwa mwaka
0767241001 call/whatsup
Photo1574588558923.jpeg
Photo1574588525266.jpeg
Photo1574588682511.jpeg
Photo1574588668526.jpeg
Photo1574588607026.jpeg
Photo1574588706481.jpeg
Photo1574588637680.jpeg
Photo1574588583912.jpeg
 
NYUMBA AINA HII; Karibu na rami,fensi ndefu,geti la gari,mbali na kanisa na msikiti,baa za makelele,tiles,luku
Buzuruga
Vyumba vi2
Self chumba k1
Public toilet
Jiko& sebure
Umeme&maji inajitegemea
Bei mil 2.5
Miezi6✓✓
0767241001whatsup
Nyumba zipo kila mahali, TUAMBIE unataka nyumba ya BAJETI GANI
KARIBUNI SANAView attachment 1230640View attachment 1230641View attachment 1230642View attachment 1230643View attachment 1230644View attachment 1230645View attachment 1230647
bado ipo?
 
Kona ya BWIRU
INAFAA KWA HOSPITAL AU OFISI
Vyumba vitano
Self 1
Public moja
Vyumba vinne Vya kulala
Sitting room
Inatazamana na barabara ya RAMI
Bei mil 9 kwa mwaka
Miezi 6×××
0767241001whatsup & Call

NB
Nyumba za kupanga tunazo kila mahari Mwanza ,USIJITESE KULIPA PESA ZA PARKING SHERI KWASABABU UNAPOISHI HAPANA PARKING asubuhi ukiamka ukikuta vua inanyesha yanakuwa majanga mengine GARI IPO SHELI

NJOO TUKUPE NYUMBA YENYE PARKING NZR PAMOJA NA USALAMA WA GARI YAKO KWA BEI YAKAWAIDA SANA
Photo1574767268459.jpeg
Photo1574767268459.jpeg
Photo1574767223935.jpeg
Photo1574767201516.jpeg
Photo1574767105880.jpeg
Photo1574767128892.jpeg
Photo1574767155467.jpeg
Photo1574767177091.jpeg
Photo1574767292843.jpeg
 
Nyaisaka center
Vyumba vi3
Self 1
Public toilet
Jiko&store
Dining rm
Sitting rm
Parking kubwa
Ndani ya fensi moja kuna nyumba 2
Umeme na maji vinajitegemea
Security 24/7
Bei mil 4 kwa Mwaka
0767241001

NB
Kwanini upaki gari lako Sheri au CCM njoo tukupe nyumba ya UHAKIKA ukiamka asubuhi ata kuwe na vua VP UNAENDA OFISINI sio uite boda then ikupeleke Sheri umeloa then unaingia kwenye gari lako unaelekea fisini. (Akamama mwenye nyumba ambae anakutesa hivi lazima atakuwa amekupa KALIBWATA KADOGO SIO BURE KWANINI UNATESEKA HV!!! )wkt majumba n mengi

TAMBIE MAHITAJI YAKO NA SIFA ZA NYUMBA UNAYOTAKA NA BEI SISI TUTAKUPATIA
Photo1574793731300.jpeg
Photo1574793610379.jpeg
Photo1574793673654.jpeg
Photo1574793653242.jpeg
Photo1574793632228.jpeg
Photo1574793693238.jpeg
Photo1574793712056.jpeg
Photo1574793610379.jpeg
 
Kanyama 88
Apartments mpya
Ndani ya fensi zipo 2
Chumba 3
Self 1
Jiko&store&public toilet
Dinning&sitting RM
Security yakutosha
Parking kubwa
Paveblock chini
Bei mil 4.5 kwa mwaka
Miezi 6√√√
0767241001whatsup/call
NB
Tunazo nyumba za kupanga kila sehemu na zakila BEI mwisho wa mwaka huu nyumba hazitulihi
KARIBUNI SANA
Photo1574833437083.jpeg
Photo1574833523106.jpeg
Photo1574833480889.jpeg
Photo1574833547446.jpeg
Photo1574833560364.jpeg
Photo1574833624642.jpeg
Photo1574833668432.jpeg
Photo1574833437083.jpeg
Photo1574833745820.jpeg
 
Back
Top Bottom