Nyumba ya kupanga!

Nyumba ya kupanga!

Oh wow!!! It s reduce stresses may be I shall get a relief cause I m mentality disorder as people say
Bosi naomba uandike tu Kiswahili maana kama si stress basi unajizima data kwa hiki ulichoandika.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hama nyumba kaishi yenye ma bachelor huenda ukapona ❤️‍🔥
 
Wanawake bana. Sasa hapo tatizo liko wapi? Tatizo bustani, kelele, au kutongozwa? Seems to me unatafuta sababu ya kumchukia mwanamke mwenzio au wote.

Psychologically, binadamu hutazama ulimwengu na kuu-define kutokana na alivyondani au anavyojisikia at the moment. Wanaita projection.
 
Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa.

Siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote Asubuhi,mchana,jioni ye nikuimba imba tu mar wimbo huu aimbe kidogo aache aimbe huu aache kwangu naona makelele siku nikishinda nyumbani kwasababu Kuna mda nahitaji utulivu haiwezekani ni makelele tu

Kingine walichonikera hii familia nilopanganayo wamelima maeneo yote yanayozunguka hawajaniachia ata kieneo nilime na mimi ata mboga tu ni wabinafsi kwani wanavyonitawala kama nyumba Yao!!!

Na bwana ake alinitongoza siku nimeanza tu kukaa hapa nasubir uyo mwanamke siku aseme fyooo nivujishe message za mume wake nimuoneshe bidada!!! Nimezitunza kwenye email au siku tu mume wake aseme fyoko niziachie nyoko Hawa nakaa nao basi tu hasa walivyoninyima eneo la kulima Nina visilani nao,siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
Acha ukorofi basi
 
Back
Top Bottom