Nyumba ya kupanga!

Nyumba ya kupanga!

Hapo kwenye kumwaga chakula hukutumia busara. Kama hukutaka kula ungekataa au kwa kuwa ulishapokea ungeweza kukigawa hata kwa wahitaji mbona wapo wengi mitaani? Kuliko kumwaga. Kwasababu hujawakomoa kwa kuwa hawajui kama ulimwaga.
 
Hata dada Ako anaweza kuwa single mother ni swala la mda 🤣🤣

Mimi mwenyewe mtoto wa single mother Ila sifikirii Kama mama yangu alifikia hii hatua uliyofikia wewe ya kumchukia jirani na kumwaga chakula alichokupa ili kujinusuru na njaa
 
siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
Neria woooou Mzao wale Moyo ka Neria Marianeweeeee
 
Mimi mwenyewe mtoto wa single mother Ila sifikirii Kama mama yangu alifikia hii hatua uliyofikia wewe ya kumchukia jirani na kumwaga chakula alichokupa ili kujinusuru na njaa
You don t know the source of it sijaeleza vyote coz nimeon it s not necessary t explain!! Na iyo ndo main point ya mimi kumwaga chakula nilichopewa.
 
Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa.

siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote Asubuhi,mchana,jioni ye nikuimba imba tu mar wimbo huu aimbe kidogo aache aimbe huu aache kwangu naona makelele siku nikishinda nyumbani kwasababu Kuna mda nahitaji utulivu haiwezekani ni makelele tu

kingine walichonikera hii familia nilopanganayo wamelima maeneo yote yanayozunguka hawajaniachia ata kieneo nilime na mimi ata mboga tu ni wabinafsi kwani wanavyonitawala kama nyumba Yao!!!


Na bwana ake alinitongoza siku nimeanza tu kukaa hapa nasubir uyo mwanamke siku aseme fyooo nivujishe message za mume wake nimuoneshe bidada!!! Nimezitunza kwenye email au siku tu mume wake aseme fyoko niziachie nyoko Hawa nakaa nao basi tu hasa walivyoninyima eneo la kulima Nina visilani nao,siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
Mke wa mtu mtarajiwa Huyuu 😭😭😭
 
Back
Top Bottom