Nyumba ya kupanga!

Nyumba ya kupanga!

Kwahiyo kosa ni lipi hapo

Kutongozwa na jirani - hii ni kawaida kwa wanaume

Kukosa eneo la kulima mboga mboga - ni vizuri uongee na mwenye Nyumba wako ikiwa unahitaji kipabde cha kulima.

- Mwanamke kuimba muda wote, hapa sijajua ikoje , Ila usiingilie Uhuru wake Kama ameamua kuimba Ila Kama anaimba kwa style ya kupiga kelele bila melody jaribu kumrekebisha.

ushauri

Kuwa positive
Punguza chuki
MTU akikupa Chakula usikimwage au kutupa chooni .

Waweza mwambia nimeshiba n.k
Aimbe Kwa melody wapi!!! Hana lolote makelele matupu
 
unaenda kupanga ili upate eneo la kilimo c ndio? Single mazeri mnatabu sana
 
Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa.

siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote Asubuhi,mchana,jioni ye nikuimba imba tu mar wimbo huu aimbe kidogo aache aimbe huu aache kwangu naona makelele siku nikishinda nyumbani kwasababu Kuna mda nahitaji utulivu haiwezekani ni makelele tu

kingine walichonikera hii familia nilopanganayo wamelima maeneo yote yanayozunguka hawajaniachia ata kieneo nilime na mimi ata mboga tu ni wabinafsi kwani wanavyonitawala kama nyumba Yao!!!

Na bwana ake alinitongoza siku nimeanza tu kukaa hapa nasubir uyo mwanamke siku aseme fyooo nivujishe message za mume wake nimuoneshe bidada!!! Nimezitunza kwenye email au siku tu mume wake aseme fyoko niziachie nyoko Hawa nakaa nao basi tu hasa walivyoninyima eneo la kulima Nina visilani nao,siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
Tafuta kazi ufanye mkuu
 
Jenga nyumba yako ndio ulime bustani!!!!!
 
Dada punguza kihoroo!

Au hii kesi isubiri tu, afya yako ya akili bado haipo stable.
 
Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa.

siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote Asubuhi,mchana,jioni ye nikuimba imba tu mar wimbo huu aimbe kidogo aache aimbe huu aache kwangu naona makelele siku nikishinda nyumbani kwasababu Kuna mda nahitaji utulivu haiwezekani ni makelele tu

kingine walichonikera hii familia nilopanganayo wamelima maeneo yote yanayozunguka hawajaniachia ata kieneo nilime na mimi ata mboga tu ni wabinafsi kwani wanavyonitawala kama nyumba Yao!!!

Na bwana ake alinitongoza siku nimeanza tu kukaa hapa nasubir uyo mwanamke siku aseme fyooo nivujishe message za mume wake nimuoneshe bidada!!! Nimezitunza kwenye email au siku tu mume wake aseme fyoko niziachie nyoko Hawa nakaa nao basi tu hasa walivyoninyima eneo la kulima Nina visilani nao,siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
Kuna wamama/wa dada kila kitu kwao nikikubwa na hasa wanaokaa pekeyao bila wanaume/ambao hawajaolewa,sijajua ni hormones imbalance or stress za maisha,hapo sio kwako lkn unataka sehemu yakulima mboga,Ww umepanga kwa mpangaji mwenzako au mwenye nyumba?
 
Mbona hasira dada usingle mother sio kilema rudi ujishushe kwa mzazi mwenzio la.watakutumia na kukimbia huzuni😡
Kuna mbwa fulani iv wakizungu siwapendagi humu jf basi tu!!!! Wanafatiliana Sana!!! Kwani u single mother ni dhambi!!!!
 
Ata wakitumia naazimaga ya dada Ako si natumia ya kwangu🤣🤣🤣
 
Una Elimu ndogo ya Sosholojia na saikolojia hauna kabisa

MTU Kama wewe lazima utakuwa unapata matatizo yafuatayo

Kuachwa na wanaume Mara kwa Mara

Kukosa marafiki wa muhimu wa kukupa sapoti

Mahusiano duni kikazi.

Kuwa single mother , kila wakati

Ushauri karibu kwa tiba haupo sawa trust me
Hata dada Ako anaweza kuwa single mother ni swala la mda 🤣🤣
 
Back
Top Bottom