zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
mimi nata temeke maeneo kijichi,kwazizi ally, temeke mwisho,vyumba 2 sebule na jiko na parking kodi kwa mwezi laki150,000 simu 0712690760
Unayo kweli mimi nataka vyumba 2 na sebulePM me tafadhari..
Yes,pm pleaseUnayo kweli mimi nataka vyumba 2 na sebule
mwaka???..Ubungo nyuma ha mic hotel 3 bedrooms Ila parking in ya gari mdogo tu. kodi laki tano mwaka.