Nyumba nzuri inauzwa

Nyumba nzuri inauzwa

Dalali hata ujui nyumba iliyokamilika kwaasilimia 90%. Hiyo nyumba bado inahitaji uwekezaji hasa maana sidhani hata ndani kama inaplasta, kwabei hiyo aiseee sidhani, Kuna jamaa yangu dodoma mjini kajenga nyumba yakisasa kiwanja mpaka nyumba kuisha katumia milioni 41 tu ambapo kiwanja pekee alinunua milioni 6 naujenzi milioni 35 nanyumba inamuonekano mzurii ndani mpaka njeee
 
Hiyo nyumba ni 13 mil
Kiwanja 3 mil
 
Hata ingekuwa kisasa au ilazo hata nusu ya hiyo bei usingepata mteja
 
Aisee watu wanatafuta pesa kwa nguvu[emoji23][emoji23]
 
Kwa wale wapenzi wa nyumba bora za kisasa ni wenu sasa.Nyumba inauzwa 80m maongezi yapo.

Nyumba ipo 45km kutoka Dodoma mjini kuelekea Iringa katika kijiji kinaitwa mlowa barabarani.

Nyumba ipo karubu kabisa na barabara kuu ya iringa dodoma,nyumba imejengwa kisasa na inafaa kwa matumizi ya familia kubwa maana ina masterbedroom 1,vyumba vya kujitegemea 3,sitting room kubwa,dining,jiko na store pamoja choo na bafu public cha ndani

Nyumba ina maji ya bomba na yanapatikana 24 masaa

Imejengwa kwenye eneo la kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka.Kwahiyo kuna eneo la kujenga nyumba zingine mbili kama hii.

Nyumba imekamilika kwa 90% na haina kasoro yoyote na mahali ilipo nyumba hii kuna uhitaji mkubwa wa nyumba za makazi kwa sasa kutokana na miundombinu bora iliyopo hapa kama barabara ya lami,hospitali ya ya wilaya,umeme na ofisi mbalimbali muhimu za serekali. Kwa atakefanikiwa kununua nyumba hii hatajutia

Kwa mawasiliano zaidi,wasiliana na mwenye nyumba kwa no 0712438020/0767291786

View attachment 1144750View attachment 1144752View attachment 1144753View attachment 1144756
Millioni themanini ya Zimbabwe?
 
Hiyo nyumba zaid yai million 15 Sizani Kama itapata mteja,,, mark my words
 
hyo nyumba mbona haina mkanda wa chini au macho yangu. Dah ila kwa m80 c sawa
 
Mm ni daktari wa hapa mirembe hvo nakuona ww kama mteja wangu upande wa vichaa...itikia wito bila shuruti maana inakoelekea ndg zako watakufunga kamba ili kukuleta kwenye matibabu ..ww ni chizi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwa hyo unamkaribisha mapema kabla hajaanza kuja kwa kufungwa kamba!
 
Nimeongea kiuzoefu mkuu ,ukiipiga finishing nzuri 30-40m unaweza kufika ila m.80 Ni ngumu ,

Kwa sababu m.80 una viwanja viwili na nyumba mbili Kama hizo sasa kwa Nini mtu anunue hiyo nyumba asinunue kiwanja??
Kweli mkuu mfundishe huyo haambiliki anajifanya mjuaji.
Yaani kila mtu anamwambia mauzo ya hyo nyumba ni mil 30 hasikii.
Kwa hyo watu wote humu jf wawe vichaa halaf yeye ndio awe mzima peke yake.
Anashindwa hata kujitafakari mwenyewe.
 
Dalali hiyo bei umekosea. Kwanza hiyo nyumba kuna gharama kubwa kuimalizia. Umesema 90% finished, labda kwa picha nyingine lakini hapo naona banda tu ambalo hata plasta bado.
Pengine labda useme iko kwenye shamba kubwa mtu aseme ananunua shamba
Hajui hapo imeisha kwa 50% tu.
Kwa mtu anayejua mziki wa kufanya finishing atakuwa amenielewa vzr.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom