Nyumba nzuri inauzwa

Nyumba nzuri inauzwa

heavyload

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
925
Reaction score
528
Kwa wale wapenzi wa nyumba bora za kisasa ni wenu sasa.Nyumba inauzwa 80m maongezi yapo.

Nyumba ipo 45km kutoka Dodoma mjini kuelekea Iringa katika kijiji kinaitwa mlowa barabarani.

Nyumba ipo karubu kabisa na barabara kuu ya iringa dodoma,nyumba imejengwa kisasa na inafaa kwa matumizi ya familia kubwa maana ina masterbedroom 1,vyumba vya kujitegemea 3,sitting room kubwa,dining,jiko na store pamoja choo na bafu public cha ndani

Nyumba ina maji ya bomba na yanapatikana 24 masaa

Imejengwa kwenye eneo la kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka.Kwahiyo kuna eneo la kujenga nyumba zingine mbili kama hii.

Nyumba imekamilika kwa 90% na haina kasoro yoyote na mahali ilipo nyumba hii kuna uhitaji mkubwa wa nyumba za makazi kwa sasa kutokana na miundombinu bora iliyopo hapa kama barabara ya lami,hospitali ya ya wilaya,umeme na ofisi mbalimbali muhimu za serekali. Kwa atakefanikiwa kununua nyumba hii hatajutia

Kwa mawasiliano zaidi,wasiliana na mwenye nyumba kwa no 0712438020/0767291786

20190702_164710.jpeg
20190702_164622.jpeg
20190702_164652.jpeg
20190702_164939.jpeg
 
Mkuu hapa kwa sasa ni potential kwahiyo nyumba sio zile za 90s 2000s ila mazungumzo yapo kwa aliserious
 
Sijui ndo kuporomoka kwa Shilling yetu!!! 80M kwa hiyo nyumba utakuwa utani,Mwambie mwenye nyumba tu km aishi mwenyewe au apangishe maana kuna uhitaji wa nyumba au sio?
 
Hapo hata mil 2 hupati milioni mbili
Nina imani humu kuna watu waelewa kwahiyo mkuu huna haja ya kucoment chochote maana unaonyesha dhahiri hata gharama ya tofali hujui possibly
 
Bado hajatokea mtu ajuaye nyuma nini kwahiyo usiteseke mkuu wanaojua na walioserious wapo hasa waliopo dodoma wanajuwa what I mean
Sijui ndo kuporomoka kwa Shilling yetu!!! 80M kwa hiyo nyumba utakuwa utani,Mwambie mwenye nyumba tu km aishi mwenyewe au apangishe maana kuna uhitaji wa nyumba au sio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom