Nyumba nzuri inauzwa

Nyumba nzuri inauzwa

Ngoja tumuoneshe maana ya nyumba,inawezekana mtoa mada hajui maana ya nyumba.
Angalia hii nyumba ipo dar na imekamilika kabisa inauzwa mil 55.
Halaf lile pagale la porini iwe mil 80.
Screenshot_20190703-163053.jpeg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwa hyo unamkaribisha mapema kabla hajaanza kuja kwa kufungwa kamba!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo hvo mkuu,huyu Dada ni mgojwa ila hapendi kupatiwa matibabu nishamwambia awahi na aje kwa hiari vinginevyo ataletwa kwa kamba..
 
Kwa wale wapenzi wa nyumba bora za kisasa ni wenu sasa.Nyumba inauzwa 80m maongezi yapo.

Nyumba ipo 45km kutoka Dodoma mjini kuelekea Iringa katika kijiji kinaitwa mlowa barabarani.

Nyumba ipo karubu kabisa na barabara kuu ya iringa dodoma,nyumba imejengwa kisasa na inafaa kwa matumizi ya familia kubwa maana ina masterbedroom 1,vyumba vya kujitegemea 3,sitting room kubwa,dining,jiko na store pamoja choo na bafu public cha ndani

Nyumba ina maji ya bomba na yanapatikana 24 masaa

Imejengwa kwenye eneo la kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka.Kwahiyo kuna eneo la kujenga nyumba zingine mbili kama hii.

Nyumba imekamilika kwa 90% na haina kasoro yoyote na mahali ilipo nyumba hii kuna uhitaji mkubwa wa nyumba za makazi kwa sasa kutokana na miundombinu bora iliyopo hapa kama barabara ya lami,hospitali ya ya wilaya,umeme na ofisi mbalimbali muhimu za serekali. Kwa atakefanikiwa kununua nyumba hii hatajutia

Kwa mawasiliano zaidi,wasiliana na mwenye nyumba kwa no 0712438020/0767291786

View attachment 1144750View attachment 1144752View attachment 1144753View attachment 1144756

Weka tangazo TBC1 na Uhuru & Mzalendo humu hupati mteja wa hilo gofu la kijijini kwa 80 mil
 
Dodoma Naifahamu Very Well Kuanzia Gharama Ya Viwanja Hadi Ujenzi Nilikuwa Shirika la Ujenzi la Suma Jkt Zaidi Miaka 5 ...., Eneo Lenyewe La Nyumba Sio Potential , Ujenzi Bora Dodoma Kwenye Foundation (Msingi) Tunatumia Mawe Coz Dom Kuna Chumvi Then Tetemeko , Hapo Mtu Kakuonea Uhuruma Unaramba 20mil , Gharama uliyoingia Ni Kufuata Mabati Ya Dragon Kizota
 
Mtaa wa pachoto kinondoni nyumba inauzwa milioni 90,,safi na ina maji umeme na fensi,,
 
Huyu anaonekana hata hyo kazi ya udalali ameivamia tu kwa njaa zake.
Hajui kinachoendelea maskini ya mungu.
Kwa taarifa yake Mimi namiliki nyumba dar na ndio nimehamia naishi,Sasa Kuna jirani yangu ana nyumba Kama hyo alitangaza kuuza milioni 30 tangu mwaka juzi hadi leo Bado hajauza.
Halaf huyu dalali njaa anaelekezwa analeta ujuaji.
Kwanza dalali ataje jinsia yake tafadhari[emoji2][emoji2]
 
Mil. 80! Tafuta mthamini mzuri wa majengo mkuu
 
Mtasababisha mleta mada ajiue kwa maneno yenu

Mkuu kua na imani utauza tu nyumba yako ila bei yako iangalie tena haiendani na uhalisia wa nyumba na mahali ilipo
 
Ndoto zangu za kumiliki Nyumba nzuri zinazidi kupitia katika majaribu makubwa sana.

Kama hilo boma lililoezekwa tu na liko Dodoma vijijini linafikiriwa kuuzwa kwa 80m kweli.........!
 
Ndugu uwe muelewa mambo ya kuset kuibia watu awamu hii hakuna, hiyo sio nyumba ya pesa hiyo hata ukitambia na kudhikiri, 45km away from city? tena Dodoma kasha finishing hakuna wala fence uje na ombi la 80mil badala ya 10-15Mil
 
Kwa wale wapenzi wa nyumba bora za kisasa ni wenu sasa.Nyumba inauzwa 80m maongezi yapo.

Nyumba ipo 45km kutoka Dodoma mjini kuelekea Iringa katika kijiji kinaitwa mlowa barabarani.

Nyumba ipo karubu kabisa na barabara kuu ya iringa dodoma,nyumba imejengwa kisasa na inafaa kwa matumizi ya familia kubwa maana ina masterbedroom 1,vyumba vya kujitegemea 3,sitting room kubwa,dining,jiko na store pamoja choo na bafu public cha ndani

Nyumba ina maji ya bomba na yanapatikana 24 masaa

Imejengwa kwenye eneo la kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka.Kwahiyo kuna eneo la kujenga nyumba zingine mbili kama hii.

Nyumba imekamilika kwa 90% na haina kasoro yoyote na mahali ilipo nyumba hii kuna uhitaji mkubwa wa nyumba za makazi kwa sasa kutokana na miundombinu bora iliyopo hapa kama barabara ya lami,hospitali ya ya wilaya,umeme na ofisi mbalimbali muhimu za serekali. Kwa atakefanikiwa kununua nyumba hii hatajutia

Kwa mawasiliano zaidi,wasiliana na mwenye nyumba kwa no 0712438020/0767291786

View attachment 1144750View attachment 1144752View attachment 1144753View attachment 1144756
Acheni utani!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom