Nyumba nzuri inauzwa

Nyumba nzuri inauzwa

Watu wenye pesa ndo wanakoenda kujenga na kununua maeneo huku mkuu mwendo wa dakika 20 unapaona mbali. Labda hujui thamani ya nyumba mkuu
Mwendo wa dk 20 kwa miguu au kwa gari?
 
Kwa wale wapenzi wa nyumba bora za kisasa ni wenu sasa.Nyumba inauzwa 80m maongezi yapo.

Nyumba ipo 45km kutoka Dodoma mjini kuelekea Iringa katika kijiji kinaitwa mlowa barabarani.

Nyumba ipo karubu kabisa na barabara kuu ya iringa dodoma,nyumba imejengwa kisasa na inafaa kwa matumizi ya familia kubwa maana ina masterbedroom 1,vyumba vya kujitegemea 3,sitting room kubwa,dining,jiko na store pamoja choo na bafu public cha ndani

Nyumba ina maji ya bomba na yanapatikana 24 masaa

Imejengwa kwenye eneo la kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka.Kwahiyo kuna eneo la kujenga nyumba zingine mbili kama hii.

Nyumba imekamilika kwa 90% na haina kasoro yoyote na mahali ilipo nyumba hii kuna uhitaji mkubwa wa nyumba za makazi kwa sasa kutokana na miundombinu bora iliyopo hapa kama barabara ya lami,hospitali ya ya wilaya,umeme na ofisi mbalimbali muhimu za serekali. Kwa atakefanikiwa kununua nyumba hii hatajutia

Kwa mawasiliano zaidi,wasiliana na mwenye nyumba kwa no 0712438020/0767291786

View attachment 1144750View attachment 1144752View attachment 1144753View attachment 1144756
Mkuu labda ungeelezea kwa kifupi unawezaje kuitumia hiyo Nyumba ili ikurudishie 80m na kwa muda gani. Unasema eneo potential, for what? Viwanja karibu na eneo la serikali havizidi 5m kwanini hilo pagare uuze 80m?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom