Nyumba nzuri inauzwa

Nyumba nzuri inauzwa

Acha dharau mkuu. Ila ndo maoni yako una uhuru wa kujidadavua kivyovyote
Nimeongea kiuzoefu mkuu ,ukiipiga finishing nzuri 30-40m unaweza kufika ila m.80 Ni ngumu ,

Kwa sababu m.80 una viwanja viwili na nyumba mbili Kama hizo sasa kwa Nini mtu anunue hiyo nyumba asinunue kiwanja??
 
Siwezi kukubishia,chakufanya ukifika mirembe ni Pm nikupokee uzuri leo na kesho nipo zamu...
Unaonekana huwa una ndoto one day umiliki nyumba ila kwakuwa umekwama kabisa umeamua kujipa moyo tu kwa kubeza vya watu.Piga tu kimya upumbavu wako hauta kuondoa kwenye hali duni uliyo nayo kwa kuishi mlezi kwenye mabanda mabovu
 
Nimeongea kiuzoefu mkuu ,ukiipiga finishing nzuri 30-40m unaweza kufika ila m.80 Ni ngumu ,

Kwa sababu m.80 una viwanja viwili na nyumba mbili Kama hizo sasa kwa Nini mtu anunue hiyo nyumba asinunue kiwanja??
Mwenye nyumba anahama kikazi kwahiyo alitaka auze nyumba pamoja na eneo la kiwanja kwa pamoja
 
Dalali hiyo bei umekosea. Kwanza hiyo nyumba kuna gharama kubwa kuimalizia. Umesema 90% finished, labda kwa picha nyingine lakini hapo naona banda tu ambalo hata plasta bado.
Pengine labda useme iko kwenye shamba kubwa mtu aseme ananunua shamba
 
Dalali hiyo bei umekosea. Kwanza hiyo nyumba kuna gharama kubwa kuimalizia. Umesema 90% finished, labda kwa picha nyingine lakini hapo naona banda tu ambalo hata plasta bado.
Pengine labda useme iko kwenye shamba kubwa mtu aseme ananunua shamba
Mwenye nyumba anahama kikazi kwahiyo alitaka auze nyumba pamoja na eneo la kiwanja kwa pamoja
 
Unaonekana huwa una ndoto one day umiliki nyumba ila kwakuwa umekwama kabisa umeamua kujipa moyo tu kwa kubeza vya watu.Piga tu kimya upumbavu wako hauta kuondoa kwenye hali duni uliyo nayo kwa kuishi mlezi kwenye mabanda mabovu
Ww ni kichaa mpumbavu usiye taka kuelimishwa hiyo bei ya banda lako hakuna mtu anaweza kununua ...hata kama nikiwa na pesa kiasi gani siwezi kununua kila kitu tu eti tu nijionyeshe ...ww ni mjinga na mpumbavu ndo maana hakuna mtu aliye kusupport kwenye kuuza hilo pagale lako unaambiwa hiyo bei haipo ww unalazimisha...

Njoo mirembe wodi ipo wazi..
 
Dalali hiyo bei umekosea. Kwanza hiyo nyumba kuna gharama kubwa kuimalizia. Umesema 90% finished, labda kwa picha nyingine lakini hapo naona banda tu ambalo hata plasta bado.
Pengine labda useme iko kwenye shamba kubwa mtu aseme ananunua shamba
Wewe unafikiri nyumba ni plasta hii nyumba iko ok na mwenyewe amekuwa akiishi hapa na familia yake huoni kuna kila kitu mpaka bomba la maji mlangoni?!
 
Mwenye nyumba anahama kikazi kwahiyo alitaka auze nyumba pamoja na eneo la kiwanja kwa pamoja
Hata nusu ya hiyo hela awezi pata angeanzia m.20 kushuka chini labda angeuza ,hivi mnaijua m.80 kweli au mmeandika tu ,

Ukinipa m.80 naweza kukujengea nyumba tatu za kawaida ila nzuri kabisa na viwanja humo humo

Viwanja vya m3 au nne Dom bado vipo vitatu let say 15m
75m inayobaki unajengea nyumba hata isipoisha kabisa ila utakuwa umefikia levo ya kuhamia
 
Tafuta walimu wastafu unaweza angalau kuwashika,
Amini amini nakwambia hata ingekuwa ilo boma lipo nkhungu,kisasa,uzunguni n.k mil 80 never,
Halafu ongea ukwel tuu,sema boma sio nyumba
 
Ww ni kichaa mpumbavu usiye taka kuelimishwa hiyo bei ya banda lako hakuna mtu anaweza kununua ...hata kama nikiwa na pesa kiasi gani siwezi kununua kila kitu tu eti tu nijionyeshe ...ww ni mjinga na mpumbavu ndo maana hakuna mtu aliye kusupport kwenye kuuza hilo pagale lako unaambiwa hiyo bei haipo ww unalazimisha...

Njoo mirembe wodi ipo wazi..
Sasa unakataa nini nikikwambia upo mirembe unakula dozi?! Maneno yako tu yanaonyesha wewe ni mgonjwa wa akili.Pili ni mtu mwenye psychological trauma. Na ninafikiri ukaribu wa mlezi na mirembe ndo uliokuokoa vinginevyo ungekuwa muokota makopo maeneo ya majengo
 
Kumbe najibu koment za juha,kilaza hata hesabu tu hujui.Nenda kanunue ujenge unateseka nini
Hata nusu ya hiyo hela awezi pata angeanzia m.20 kushuka chini labda angeuza ,hivi mnaijua m.80 kweli au mmeandika tu ,

Ukinipa m.80 naweza kukujengea nyumba tatu za kawaida ila nzuri kabisa na viwanja humo humo

Viwanja vya m3 au nne Dom bado vipo vitatu let say 15m
75m inayobaki unajengea nyumba hata isipoisha kabisa ila utakuwa umefikia levo ya kuhamia
 
Sasa unakataa nini nikikwambia upo mirembe unakula dozi?! Maneno yako tu yanaonyesha wewe ni mgonjwa wa akili.Pili ni mtu mwenye psychological trauma. Na ninafikiri ukaribu wa mlezi na mirembe ndo uliokuokoa vinginevyo ungekuwa muokota makopo maeneo ya majengo
Huwa sibishani sana na wadada wajawazito kama ww ...tufanye umeshida.
 
Tafuta walimu wastafu unaweza angalau kuwashika,
Amini amini nakwambia hata ingekuwa ilo boma lipo nkhungu,kisasa,uzunguni n.k mil 80 never,
Halafu ongea ukwel tuu,sema boma sio nyumba
Inaonekana umezaliwa kwenye nyumba za tembe,ukalelewa kwenye tembe na bado unaishi kwenye tembe zilizozungukwa na maboma ya punda sasa nyumba za kisasa unaziona ukipita tu nda maana huelewi pole
 
To be candid, sijaona nyumba ya milioni 80 achilia mbali hiyo, hata 15m ukiuza utakuwa na bahati mnoo
 
Achana na huyo chizi achelewi kukutapikia maana ni mjamzito..
 
Mkuu kama kweli wewe ni dalali basi unakosea sana,na kwa kukusaidia tuu muachie mwenye nyumba aiuze mwenyewe, kupitia kwa dalali wewe huiuziki kamwe
NB: tafuta walimu wastaafu huko utafanikiwa maana akili za wastaafu wengi nazo (akili zao)zimestaafu
 
To be candid, sijaona nyumba ya milioni 80 achilia mbali hiyo, hata 15m ukiuza utakuwa na bahati mnoo
Acha uzwazwa wewe unajuwa hata bei ya tofali,cement ,nondo,bati?
Nenda ALAF waulize bati moja inauzwa beigani kama sio bajeti yako ya mwezi na uonekane mjanja kwa wapangaji wenzio?!
 
Achana na huyo chizi achelewi kukutapikia maana ni mjamzito..
Ngoja tumueleweshe mkuu,et kwa kuwa serikal imehamia Dodoma kaona ni fursa kuuza boma/pagale hilo kwa bei hiyo,HAIUZIKI
 
Kwa wale wapenzi wa nyumba bora za kisasa ni wenu sasa.Nyumba inauzwa 80m maongezi yapo.

Nyumba ipo 45km kutoka Dodoma mjini kuelekea Iringa katika kijiji kinaitwa mlowa barabarani.

Nyumba ipo karubu kabisa na barabara kuu ya iringa dodoma,nyumba imejengwa kisasa na inafaa kwa matumizi ya familia kubwa maana ina masterbedroom 1,vyumba vya kujitegemea 3,sitting room kubwa,dining,jiko na store pamoja choo na bafu public cha ndani

Nyumba ina maji ya bomba na yanapatikana 24 masaa

Imejengwa kwenye eneo la kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka.Kwahiyo kuna eneo la kujenga nyumba zingine mbili kama hii.

Nyumba imekamilika kwa 90% na haina kasoro yoyote na mahali ilipo nyumba hii kuna uhitaji mkubwa wa nyumba za makazi kwa sasa kutokana na miundombinu bora iliyopo hapa kama barabara ya lami,hospitali ya ya wilaya,umeme na ofisi mbalimbali muhimu za serekali. Kwa atakefanikiwa kununua nyumba hii hatajutia

Kwa mawasiliano zaidi,wasiliana na mwenye nyumba kwa no 0712438020/0767291786

View attachment 1144750View attachment 1144752View attachment 1144753View attachment 1144756
Kwa hiyo bei ya hiyo nyumba had kwa dar pembezoni hupati kwa hiyo bei ni kubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom