Nyumba nzuri inauzwa

Nyumba nzuri inauzwa

Acha uzwazwa wewe unajuwa hata bei ya tofali,cement ,nondo,bati?
Nenda ALAF waulize bati moja inauzwa beigani kama sio bajeti yako ya mwezi na uonekane mjanja kwa wapangaji wenzio?!
Mbona umekariri? Kwamba kila anayekupinga amepanga!

Kwahiyo ulitaka tukusapoti kwa hili pagale na hiyo bei?

Kwa ulivyo na mdomo mchafu ukiuza hata laki tano katoe sadaka
 
Mbona umekariri? Kwamba kila anayekupinga amepanga!

Kwahiyo ulitaka tukusapoti kwa hili pagale na hiyo bei?

Kwa ulivyo na mdomo mchafu ukiuza hata laki tano katoe sadaka
Ulitaka nikujibu friendly wakati unaonyesha dharau mwenye nyumba hauzii njaa na mimi sioni kosa kulazimisha kuuza nyumba nzuri kama hii kwa bei ya walalahoi.Watu wapo and they know what is meant to have a house
 
Atii.eeeeh unazungumzia mil 80 afadhali mninyonge
 
Ngoja tumueleweshe mkuu,et kwa kuwa serikal imehamia Dodoma kaona ni fursa kuuza boma/pagale hilo kwa bei hiyo,HAIUZIKI
Usiseme haiuziki,sema sikuuzii wewe maana hela ya kula yenyewe huna halafu nyumba utawezea wapi
 
Nimeongea kiuzoefu mkuu ,ukiipiga finishing nzuri 30-40m unaweza kufika ila m.80 Ni ngumu ,

Kwa sababu m.80 una viwanja viwili na nyumba mbili Kama hizo sasa kwa Nini mtu anunue hiyo nyumba asinunue kiwanja??
Angukuwa anashsurika.... Ila
Kaka ukipata m.20 shukuru
Hata humu jukwaaani JF Kuna nyuzi nyingi TU za watu wanauza nyumba/viawanja dodoma Tena mjini ila siyo Bei hiyo......
Nyumba ipo 45km from city center halaf katkat kuna pori bado mtu anauza m80 ..we dalali njoo mirembe siyo mda sana utaanza kuvua nguo.
Jamaaaa mbishi........
Wewe ndio hujui thamani ya nyumba ya Sasa mkuu.
Dar es salaam nyumba Kama hizo ziko nyingi sana zinauzwa mil 30.
Wewe upo nchi gani usijue kuwa hela ngumu msimu huu wa vyuma kukaza.
...

Yaaaani kwa Bei hiyo (85m) dodoma mjini Nkuhungu, jirani KABISA na lami unatapa kiwanja Cha 600+m2 less than 15m, alafu 70m ilyo baki inatosha KABISA kujenga nyuma yenye appartment 4 za two bedroom and rest of the house na kuzipangisha @250k, unatengeza 1M per month ya uhakika, SASA UKO MLOWA MTU AKAFANYE NN[emoji1664]
 
Mkuu nimekwambia mazungumzo yapo kwa serious buyers
Bei ya mwanzo ndo inareflect, yaan hapo kwa hiyo bei ya mwanzo kupata mteja ni kazi labda ubahatishe kwa wasio jua Ndugu yangu


Embu jaribu kutafakari bei yako ya mwanzo
 
Bei ya mwanzo ndo inareflect, yaan hapo kwa hiyo bei ya mwanzo kupata mteja ni kazi labda ubahatishe kwa wasio jua Ndugu yangu


Embu jaribu kutafakari bei yako ya mwanzo
Mkuu hiyo alerting price mtu mwenye nia ya kununua anaonekana tu,no za mwenye nyumba zipo hapo unaweza kumtafuta akitaka kuuza hata 45m ni yeye ila sio mimi
 
Mkuu, mbna unauza kwa bei rahisi sana? Hyo nyumba imesimama sana ... halaf km 45 had mjin unaweza hta ukatembea tuu...Anzia mil 100 mkuu.. utapata mteja chap..
Tatizo sina hela kabisa... ndomana napishana na fursa kama hii... daah
 
Wewe unafikiri nyumba ni plasta hii nyumba iko ok na mwenyewe amekuwa akiishi hapa na familia yake huoni kuna kila kitu mpaka bomba la maji mlangoni?!
acha ubishi hilo ni banda
 
Hiyo nyumba ukuta umepinda au, ni macho yangu? Au picha ilivyopigwa
 
Mkuu kama kweli wewe ni dalali basi unakosea sana,na kwa kukusaidia tuu muachie mwenye nyumba aiuze mwenyewe, kupitia kwa dalali wewe huiuziki kamwe
NB: tafuta walimu wastaafu huko utafanikiwa maana akili za wastaafu wengi nazo (akili zao)zimestaafu
Ni ngumu sana kwa huyu jamaa kuuza, majibizano yake hayawezi mvutia mtu mwenye busara kufanya nae biashara!
 
Mkuu, mbna unauza kwa bei rahisi sana? Hyo nyumba imesimama sana ... halaf km 45 had mjin unaweza hta ukatembea tuu...Anzia mil 100 mkuu.. utapata mteja chap..
Tatizo sina hela kabisa... ndomana napishana na fursa kama hii... daah

😁😁😁😁
 
Mie nahisi wakati unaijenga,mafundi walikupiga sana,kwa hio hujui true value ya nyumba yako..mie sikulaumu..wanawake wanapigwaga sana kwenye mambo kama haya...nyumba ya million 60 unajenga kwa 80..mwenyewe unajua una nyumba ya million 80 kumbe 60,next time weka ndugu yako wa kiume akusimamie...that is if na yeye sio mpigaji
 
Kwa nyodo za muuzaji, sidhani Kama atapata mteja humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom