Nyumba nzuri inauzwa

Nyumba nzuri inauzwa

Location iko vizuri sana maana kwa anayepafahamu mlowa barabarani anaelewa what namaanisha,mteja aliye serious anayo nafasi ya kusikilizwa
Kwa location na bei hiyo mmhh
 
Watu wenye pesa ndo wanakoenda kujenga na kununua maeneo huku mkuu mwendo wa dakika 20 unapaona mbali. Labda hujui thamani ya nyumba mkuu
Wewe ndio hujui thamani ya nyumba ya Sasa mkuu.
Dar es salaam nyumba Kama hizo ziko nyingi sana zinauzwa mil 30.
Wewe upo nchi gani usijue kuwa hela ngumu msimu huu wa vyuma kukaza.
 
Nenda kanunue huko dar wala hakuna aliyekulazimisha possibly unaishi nyumba ya kupanga tena chumba kimoja utajua wapi haya mambo?!
 
Wewe Dalali sikiliza ushauri wa watu wanaojua,hata kwa bei ya 40M ukiuza nakuja PM unipeleke kwa mganga wako
 
Huyu anaonekana hata hyo kazi ya udalali ameivamia tu kwa njaa zake.
Hajui kinachoendelea maskini ya mungu.
Kwa taarifa yake Mimi namiliki nyumba dar na ndio nimehamia naishi,Sasa Kuna jirani yangu ana nyumba Kama hyo alitangaza kuuza milioni 30 tangu mwaka juzi hadi leo Bado hajauza.
Halaf huyu dalali njaa anaelekezwa analeta ujuaji.
 
Kinachonishangaza wagogo Dodoma wanapaona Newyork yaan wanauza vitu bila uhalisia...hiyo nyumba nitafute nikupe 10m.
 
njaa mbaya sana,

ila ukifika 10m nistue
Shida ya mtu mweusi ni dharau wakati yeye mwenyewe hana kitu nyumba iliyojengwa kwa gharama ya more than 40m unasema 10m Mungu akusamehe. Embu acha tu kucoment hutapungukiwa kitu
 
mkuu kipindi hiki hali ngumu we uza hata 10m tuu fresh otherwise ishi mwenyewe
 
Nyumba ipo 45km from city center halaf katkat kuna pori bado mtu anauza m80 ..we dalali njoo mirembe siyo mda sana utaanza kuvua nguo.
 
Shida ya mtu mweusi ni dharau wakati yeye mwenyewe hana kitu nyumba iliyojengwa kwa gharama ya more than 40m unasema 10m Mungu akusamehe. Embu acha tu kucoment hutapungukiwa kitu
wewe ndio mwenye dharau, 80m kwa ilo boma ambalo lipo msituni uko ?, unadhani makaratasi ayo ?
 
Ukijiona unajua kila kitu,kila sehemu wewe waifahamu,kudharau kila kitu.Basi ujue huo ndo njinga wenyewe na halisi kabisa ulio nao.Nani kakwambia hapa msituni ujinga wako unafikiri watu wenye pesa zao wanataka kuishi mbagala rangi 3 kama wewe. Tulia hakuna aliyekulazimisha kucoment chochote.Acha kuharibu kazi za watu kwa uelewa wako mdogo
 
Nyumba ipo 45km from city center halaf katkat kuna pori bado mtu anauza m80 ..we dalali njoo mirembe siyo mda sana utaanza kuvua nguo.
Kwakuwa wewe uko mirembe kwenye matibabu kwa uchizi wako basi wafikiri wote machizi kama wewe.!Lakini ni kawaida ya vichaa kufikiri wote ni vichaa wenzao
 
Mm ni daktari wa hapa mirembe hvo nakuona ww kama mteja wangu upande wa vichaa...itikia wito bila shuruti maana inakoelekea ndg zako watakufunga kamba ili kukuleta kwenye matibabu ..ww ni chizi.
 
Huna uwezo wa kuwa daktari wewe kwa akili ndogo uliyo nayo
 
Kama hiyo ni Milioni 80 basi ya kwangu ntauza milioni 400 [emoji16][emoji16]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom