kwanza hongera kwa kua mke wa kwanza wa ndoa yako au kama weng wanavoweza kuita nyumba kubwa.Kujiunga nao kwa maana ya kukubali muwe mnashare nao penzi bila manung'uniko mana hata wanaume wamegundua mapungufu katika nyumba zao zinazotokana na nyie wamama wa nyumba kubwa. Ndo mana wanatafuta na kupata kamati za ufundi mpya zijulikanazo kama NYUMBA NDOGO.What do you mean by kujiunga na nyumba ndogo? Na nyumba kubwa nayo iwe nyumba ndogo ya ndoa nyingine?? Fafanua!
kwanza hongera kwa kua mke wa kwanza wa ndoa yako au kama weng wanavoweza kuita nyumba kubwa.Kujiunga nao kwa maana ya kukubali muwe mnashare nao penzi bila manung'uniko mana hata wanaume wamegundua mapungufu katika nyumba zao zinazotokana na nyie wamama wa nyumba kubwa. Ndo mana wanatafuta na kupata kamati za ufundi mpya zijulikanazo kama NYUMBA NDOGO.
Nilivyosoma tu thread yako nilijua kuwa bado uko single. Hamna mwanamke aliye kwenye ndoa anaweza andika ulivyoandika hata kama ndoa yake ni ya 100% furaha. Subiri uianze safari ndio utajua vizuri yanayojiri. Siwezi kubadili mawazo yako utajifunza through experience.
the bottom line mapenzi ni two way traffick.....
sio jukumu la mama peke yake kulea ndoa....
kama mmoja anakosea mwingine anapaswa kutafuta solusheni ndani na sio kwenda nje.....kwa vimada,kuna ukimwi mtakufa muache watoto yatima bureeee........
Huko kwa kuchokana ni kwingine kabisa kwasababu mtu anajua kabisa kachokwa ila hataki kuukubali ukweli.Nnaowaongelea mimi ni wale wazembe wasiojua kujikagua na kuona makosa yao matokeo yake kesi kwa wazee wa dini kila kukicha.
nyumba kubwa msamehe huyu hajui anachoongea,
Kama huna la maana la kuchangia huna haja ya kuchangia.Sindo wewe unaetetea wanaume kutoka nje?!Kazi kufuata mikumbo tu!What a joke.
nyumba kubwa msamehe huyu
hajui anachoongea,
tena hajui kabisa, maisha ya ndoa si kama tamthilia za kizungu au movie za kanumba,nyumba kubwa msamehe huyu hajui anachoongea,