CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
mimi tu kukuletea habari - source Asprin
Haya mamito!!!!
Last edited by a moderator:
mimi tu kukuletea habari - source Asprin
Umesahau kuwa huyo ni nyumba ndogo ya Asprin,na hivi leo Asprin amebanwa na Yummy basi kakosa pa kutokea ndio maana anajipendekeza kwa Bishanga na kusahau kuwa The secretary leo amekaba mpaka penati.Wakati huohuo wake zake Asprin wengine BADILI TABIA ye tupo naye hapa jamvini bila kumsahau cacico aliyeringa akijidai atatoka na Bujibuji kumbe Bujibuji naye amekabwa na Nazjaz basi raha tu. Kongosho imekula kwako leo...
acha tu nishinde humu kuondoa uchungu wa kukatiwa umeme na tanesco......... Ukizingatia na kushiba pilau+joto hata kukumbatiana na hubby hainogi...
Njoo huk kwen baridi mpz lol
nakuja now now.....tanesco ndo wameamua kurudisha umeme sasa..... Achanifanye mpango wa amarula,ninyweee hadi nilegee mbendembende.....
Kwa hiyo mi ni small house ama big house? Manake sijielewi elewi
kuna tetesi zimenifikia punde kuwa walioshinda MMU na CC ni nyumba ndogo.
Hii imetokana na Nyumba Kubwa kukaba hadi penati leo siku ya sikukuu, wahusika wamekosa visa za kutokea.
Sehemu ya kupunguzia machungu ni CC.
Liwapate wote, teh teh teh.
Bishanga, natangulia Hawaii
acha tu nishinde humu kuondoa uchungu wa kukatiwa umeme na tanesco......... Ukizingatia na kushiba pilau+joto hata kukumbatiana na hubby hainogi....