Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Nilikuwa na nyumba kubwa numeitelekeza kwa sasa nimekuja kwa small housemie nimekwida nyumba kubwa yangu hapa.. Hachomoki ng'o na keshokutwa namsindikiza hadi job asije akafidia bure.
Nilikuwa na nyumba kubwa numeitelekeza kwa sasa nimekuja kwa small housemie nimekwida nyumba kubwa yangu hapa.. Hachomoki ng'o na keshokutwa namsindikiza hadi job asije akafidia bure.
bujibuji na demu wake charminglady wamenasana Mbagala Charambe, twendeni tukawasaidie
Nilikuwa na nyumba kubwa numeitelekeza kwa sasa nimekuja kwa small house
kuna tetesi zimenifikia punde kuwa walioshinda MMU na CC ni nyumba ndogo.
Hii imetokana na Nyumba Kubwa kukaba hadi penati leo siku ya sikukuu, wahusika wamekosa visa za kutokea.
Sehemu ya kupunguzia machungu ni CC.
Liwapate wote, teh teh teh.
Bishanga, natangulia Hawaii
huyo smol hous wako nae kaenda kwa nyumba kubwa yake! Mpo wangapi shem? Tulizana.
ukitoka airport straight nenda hoteli ya Honolulu sheraton,nimebook presidential suite,chukua vitendea kazi vya kutosha,nwenzio wiki sasa nakula supu ya pweza.kuna tetesi zimenifikia punde kuwa walioshinda MMU na CC ni nyumba ndogo.
Hii imetokana na Nyumba Kubwa kukaba hadi penati leo siku ya sikukuu, wahusika wamekosa visa za kutokea.
Sehemu ya kupunguzia machungu ni CC.
Liwapate wote, teh teh teh.
Bishanga, natangulia Hawaii
huyo smol hous wako nae kaenda kwa nyumba kubwa yake! Mpo wangapi shem? Tulizana.
bamwelezee Kongosho,halafu kumtaka kwenyewe wala simtaki,anajigonga tu kwangu,kha,mi dabwada la kazi gani,aishie huko kwa kibabu Asprin.Umesahau kuwa huyo ni nyumba ndogo ya Asprin,na hivi leo Asprin amebanwa na Yummy basi kakosa pa kutokea ndio maana anajipendekeza kwa Bishanga na kusahau kuwa The secretary leo amekaba mpaka penati.Wakati huohuo wake zake Asprin wengine BADILI TABIA ye tupo naye hapa jamvini bila kumsahau cacico aliyeringa akijidai atatoka na Bujibuji kumbe Bujibuji naye amekabwa na Nazjaz basi raha tu. Kongosho imekula kwako leo...
Ila siku hizi inabidi tu tukubali, paka akiondoka panya hutawala. Kabla hujatoka kwake sms inatumwa hii pundamilia inatoka in 15mins, anza kuja. Kha!
Bon Voyage Ndetchia
hicho kiligha cha chini ndio jibu lake hilo
Kwa hiyo mi ni small house ama big house? Manake sijielewi elewi
Watu tunakata pilau sa hv