Mahari?!!!!!!...umenichekesha msanii, kwetu wapi?!
Well,siwezi kukupa ushauri mbaya tena kwenye hili suala. Inabidi uelewe tu kuwa matatizo yana mwisho na ukitaka kuishi maisha ya amani na raha kwenye ndoa unaweza japo lazima kuwe na adjustments fulani kati yenu kwenye mambo fulani kuridhiana!