Labda nyumba ndogo inahudumiwa zaidi kutokana na nyumba ndogo kujua kwamba tayari kuna mwenye mali hivyo ili kuhakikisha huduma nzuri toka kwa njemba mama wa nyumba ndogo huongeza vikolombwezo katika departments zote ili kuhakikisha njemba inarudi kila kukicha maana nyumbani njemba haipati huduma kama nzuri kama za nyumba ndogo.
Unajua preditors wanawake wanaoiba waume za watu wako wengi siku hizi!
Na wametoa tu makucha..yaani mwanaume akinasa hautoki!
Mimi sijui akina baba kwa nini wanakubali kunaswa kirahisi hivi na ujanja wao!
Taabu tu hizi nyumba mara nyingi huchochea maambukizi mapya ya ukimwi..na istoshe maambukizi mapya ya ukimwi Tz ni kwa wanandoa zaidi ya waliko single!
Kubwa kwa kina baba ni kujiepusha sana na hawa preditors..ili wasije wakanaswa!
Wake ndo wana jukumu la kuwafundisha waume zao mbinu za kuepukana na hawa preditors wanaoiba waume za watu!
Fidel,
Wewe umeoa?if yes, ndoa yako ina muda gani?
Kama ndoa yako ina umri wa zaidi ya miaka mitano......try wewe mwenyewe small house...nakwambia utachonga mzinga huko!
Hivi kumbe ndio maana unaweza kukuta mwanamme mzima kaganda kwa nyumba ndogo ya ajabu ukiilinganisha na nyumba kubwa. Yaani unakuta nyumba ndogo miguu yote ya kushoto, lakini nyumba kubwa shape namba eight, lakini jibaba limeganda kwa nyumba ndogo.
Nyumba ndogo sanasana ni viburudisho vya kujamiiana zaidi ya hapo ni manjonjo ambayo mwanaume anapewa kwasababu lazima atakuwa amelalamika vinavyomkera/anavyokosa Nyumba halali(Kubwa). Hivyo nyumba ndogo itajitahidi kumpa mambo anayoya-miss au yanayomkera kujaribu kuziba ufa ila siyo bure mwanaume lazima agharamikie!
Mwanaume asipokuwa na pesa za kugharamikia hiyo nyumba ndogo anatoswa tu na service inaisha. Mwisho wake ni stress juu ya stress!
Bora utulie na Nyumba Halali(kubwa) muishi zaidi kama marafiki siyo tu mume na mke tu. Wakati wa tendo la ndoa sema unataka nini? Tatizo mawasiliano na uoga!..Unataka ufanyiwe pedicure sema,ukunwe mgongo sema!.Utashangaa raha ya kuishi kama best friends, daima unawaza kuwa home na mkeo(nyumba halali) na watoto wako.
Marriage is full of challenges but it worth!..

hii inaitwa hekima.. tatizo watu wanapenda "nyumba ndogo" kwani "kubwa" hawaziwezi!!! Sisi wengine tunagandana na Nyumba kubwa tu mbele kwa mbele hizi ndogo hizi kubomoka haraka!!
Fidel,
Wewe umeoa?if yes, ndoa yako ina muda gani?
Kama ndoa yako ina umri wa zaidi ya miaka mitano......try wewe mwenyewe small house...nakwambia utachonga mzinga huko!